Ninge kubali kuanzisha mahusiano ya kimapenz na mmoja kati ya wajukuu wa rais mstaafu wa znz, but kwa kuendkeza fikra potof nikaipoteza nafac ivi ivi, saif naijutia
Mmmmh makubwa!! Ila hakuna kinachoshindikana ktk maongez. Jitahd kukaa nae chini na kuwa mpole sna na pia kuwa maridhia kwke, huyo ni binaadam unapomfanyia mazur na kumcare zaid, nafc yke itamsuta.
Kudanganya ktk zama hizi kumekuwa kma dozi jamii. Ktk secka zote hili jmbo unakutana nalo, ila wa kulaumiwa ni wazee kwan wao ndio wenye jukumu kubwa la kuwapa malez bora watoto wao. Mtoto unapomlea ktk mazingra ya kumuogopa mungu na kujuwa madhara ya kusema uongo atakulia vile vile had ukubwani...
Kuondolewa kwa adhabu za viboko mashuleni kunawapa wanafunzi jeuri na kiburi, hivyo wanaweza kufanya utovu wa nidham bila kujali mwalimu anasema nini.
Pia udogo wa umri wa walimu hususan wamawke, kma tujuavyo wanafunzi ni aina flani ya vichaa wawapo mashuleni, hivy wanahitaj kutishwa zaid ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.