DC Kinondoni, Ally Hapi ajivua sakata la Mdee

DC Kinondoni, Ally Hapi ajivua sakata la Mdee

Hata Bokassa Idd Amin Saddam Hussein nao walikuwa watu muhimu katika utesaji na uuaji ndiko anakoelekea huyu wa kwetu. Anacho fanya sasa ni robo tu mpaka 2018 chini ya utawala huu nchi itakuwa Uganda ya Idd Amin

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Wacha mnyoroke nyinyi watuhumiwa wa ufisadi
 
Wacha mnyoroke nyinyi watuhumiwa wa ufisadi
Mimi siyo mtuhumiwa na wala sitakuwa mtuhumiwa wa ufisadi kwani hata Chiluba na Jameen walikuwa hivyo hivyo na mwisho wao tumeuona.
Watu kama wewe alikuwapo na wataendelea kuwepo hata wakati wa apartheid waafrika walikuwa wanachomwa kwa makaburu na waafrika wenzao

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Cku zote unaposema ukweli dhidi ya serekal, unaonekana unakwenda kinyume na mabwana wakubwa, na kila cku tumezowea kuwaona wapinzani tuu wakisekwa n
 
Hivi Mbunge unachaguliwa ili ukatukane? Kawe mjipime mtuletee mtu bora zaidi.
 
Hata Bokassa Idd Amin Saddam Hussein nao walikuwa watu muhimu katika utesaji na uuaji ndiko anakoelekea huyu wa kwetu. Anacho fanya sasa ni robo tu mpaka 2018 chini ya utawala huu nchi itakuwa Uganda ya Idd Amin

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app

Ulitaka akitukana aachiwe tu?

Lema katia adabu, yeye na mkewe hawajatuma tena SMS za Matusi. Na huyu atatia adabu tu.
 
nimecheka hapo taarifa iliposema kua ameanza kula,....chadema kwa maigizo; mi nilifikiri yuko 'serious' na suala la kutokula!
maigizo ya chadema ysnashinda ya ccm,mikataba ya madini msaini wenyewe tena mkiwa kwenye Baraza la mawaziri leo eti mnajida tumeibiwa sana,na hatuwaraki majizi,huu ni upuuzi mkubwa.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona hakuna haja ya upinzani Tanzania ni bora kibaki chama kimoja maana hakuna haja ya kukandamiza upinzani kisa wanasema ukweli
Namshauri Mwenyekiti Mbowe ajiondoe na wabunge wake wote nchi za mangaribi zenye mataifa makubwa waje wawe ndo wapinzani
Mbunge aliechaguliwa kwa kura ni mtu mkubwa sana kumfananisha na huyo alietuliwa nchi za Afrika upinzani bado sana no need have Opposition parts
Labda baada ya miaka 50 ijayo

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Huyu DC aburuzwe mahakamani haraka sana!! Tundu Lissu, Kibatala, Professor Safari unganeni katika hili! hawa wakutumwa wasiotumia ubongo watatumaliza! Ona sasa polisi wanatupiana mpira ovyo
Hii ndo Africa ndugu

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Usicheze na Rais hata simu moja. Yule ni kiongozi wa watu zaidi ya million 45. Ni MTU muhimu sana kuliko unavyofikiria. Ni amiri jeshi mkuu na wanaomshikilia kwa sasa ni jeshi. Hao wote uliowataja hawana cha kufanya.

Halima Mdee kututukana wote, mwache ashikishwe adabu.
Bado hujaacha unafiki wako?
 
Ulitaka akitukana aachiwe tu?

Lema katia adabu, yeye na mkewe hawajatuma tena SMS za Matusi. Na huyu atatia adabu tu.
Nimekuelewa hii ni serikali ya ki dikteta kwa hiyo mtu haruhusiwi kusema kweli na akisema kweli uwe wa kumfurahisha mkuu mkuu akikosea alikuwa ukweli ni matusi kila Lusinde akitukana ni mapambio. Hakuna mjadala

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Kwa Hali ilivyo hata kujadili kitu unaogopa....

Sent from my D2303 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa hii ni serikali ya ki dikteta kwa hiyo mtu haruhusiwi kusema kweli na akisema kweli uwe wa kumfurahisha mkuu mkuu akikosea alikuwa ukweli ni matusi kila Lusinde akitukana ni mapambio. Hakuna mjadala

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Kuambiwa wewe, dada'ko, mama'ko, baba'ko na Watanzania wote mtavuliwa nguo, siyo matusi, tena ya nguoni?

Ulitaka mtu anaetutukana hivyo na kumtukana rais wetu kuwa ndiye atayetuvuwa hizo nguo na kututembeza barabarani aachiwe tu?
 
Kwani Halima Mdee alikuwa amepinda? Alikamatwa kwa ajili kumkomoa huu ulevi wa madaraka kwa wateule wa Raisi.
Kibongobongo watu wengi kuelewa somo hili kazi sana, Magufuli akifanya mchezo mmoja tu wa Pwagu na Pwaguzi watu wanazuzuka hawaelewi somo kwamba ni usanii mchafu tu.
 
Kuambiwa wewe, dada'ko, mama'ko, baba'ko na Watanzania wote mtavuliwa nguo, siyo matusi, tena ya nguoni?
Hilo ndo tusi?. Mbona watz waliambiwa ni maLofa and nobody cares.
Au kwa Ccm ni kawaida tu ila kwa alie na itikadi tofauti ndo matusi?
 
Hilo ndo tusi?. Mbona watz waliambiwa ni maLofa and nobody cares.
Au kwa Ccm ni kawaida tu ila kwa alie na itikadi tofauti ndo matusi?

Mama'ko kuvuliwa nguo akatembezwa barabarani siyo tusi?

Lofa ndiyo tusi?

Kwa akili hizo, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
 
nimecheka hapo taarifa iliposema kua ameanza kula,....chadema kwa maigizo; mi nilifikiri yuko 'serious' na suala la kutokula!
Siku wakikugeuka usisahau kutueleza, maana unafikir kwa kuwa umevaa green mahabusu hapakuhusu.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom