wilbald
JF-Expert Member
- Dec 17, 2007
- 1,810
- 1,379
Mimi bado niko sealed
Daah kudanganya raha sana...aliyeuza cheni kapewa hela feki..aliyetoa pesa kapewa cheni feki.
Mimi bado niko sealed
Kutokujiamini
Mambo yepi mkuu?
Mkuu naanza na wewe kwanini umeongopa jina lako la kwenye ID??Tanzania (na Afrika kwa ujumla) kuna watu waongo-waongo sana, yaani haipiti siku lazima mtu adangany utakufa?