Recent content by mr.mirror

  1. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Baba kaniachia haya

    Ile naamka tu, uso kwa uso na post mpya na tam Kama hii. Nimeipenda sn mkuu.
  2. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Wadada mnataka urafiki wa kawaida, invoice za nini?

    Vibomu mkuu. Wengine huita mizinga ni.
  3. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Mimi mwalimu,Mafanikio niliyoyapa mwaka 2014 na ya 2015 na matarajio yangu 2016

    Mkuu, sitaki kabisa kuamini Kama ndani ya miaka chini ya mitano umeweza kufikia hatua hiyo! Cost zaidi ya 20mil. Ndani ya muda huo? Labda nyumban ya kuta za makuti. Hata Kama ni mikopo bado kwa muda ulioajiriwa hautoshi kupeWa kiasi hicho cha mkopo iseeee. Other wise Una biashara zako zingine
  4. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Mwacheni afanye maamuz aliyoyaamua ili moto wake uache kuumia jamani. Naamini kwa wana u me tuliowahi kuumizwa na wavaa skirt , tunajua how pain huyu jamaa anaipata. Japokuwa huishia kufanya maamuzi tofauti mwishoni mwa game.
  5. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wananichukia

    Pole Sana Miss Jay. Mama ni mama tu hata awe na mapungufu gani ww jitahidi huyakubali tu. Msamehe bure ipo siku atagundua wapi alitenda kosa lake. Kuwaweka katika matabaka anakosea Sana . cha msingi Kama wadau wengine walivyochangia, jitahidi Sana kufanya mambo yako jirani na maeneo ambayo ni...
  6. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Ajali: Mtu asiyefahamika amefariki baada ya gari lake kuteketea kwa moto Kibaha

    Lakini pia huwa kama ajali imetokea, mtu anaweza kupata mshtuko na kupoteza faham. Mara nyingi ikitokea hv sio rahisi kupona ikiwa moto utashika mapema na akakosekana mtu wa kutoa msaada. R.I.P marehem
  7. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Kemikali gani inatumika kulihifadhi tunda la apple?

    Kwa ninavyofahamu, zamani kidogo kuna kemikali ilikuwa inaitwa Alar ndio ilikuwa inatumika kupulizwa kwenye matunda (Apples) ili kufanya yasioze. Hii ilitokana na kuwa, ilikuwa inasababisha magonjwa ya Cancer (japo sijui ni cancer aina gani). Hata ukimenya, bado iliendelea kuwepo ndani ya tunda.
  8. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Hivi wake zenu wapo kama huyu wangu?

    Sijaingia kwenye ndoa, lakini kiufupi nashauri hao ndugu zako(mdogo wako na wengine Kama wapo) uwe unawasiliana nao, ili km unayo pesa ya balance yako ambayo mkeo hafaham Kama unayo basi unawasaidia. Maana sio lazima Sana waje home; maana akiwaona tu amekariri Kama wamefuata pesa. Vile vile kaa...
  9. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Napata kigugumizi kumsamehe huyu binti

    Fanya hata Kama ni favor mkuu. Mpe msaada kwa kumpa huyo dada kazi bhn
  10. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Mjue muuza matunda gengeni anayeingiza bilioni 20 kwa mwaka

    Nimetoka na kitu flan kwenye hii story. Siioni button ya LIKE mkuu
  11. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa chunguza tabia ya mama mkwe wako

    Haman!! ! Mbavu zangu hoiiii
  12. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa chunguza tabia ya mama mkwe wako

    True 95% mkuu. Yalinikuta kwa mchumba wangu mwaka jana.
  13. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Sifa za mwanamke makini hasa ndani ya ndoa

    Nadhani wahusika wameziona na watajifunza kitu kutoka hapo
  14. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje mkeo anatumiwa nauli ofisini kwako?

    Pole Sana mkuu, maana maumivu na hasira vinavyokuandama nahisi Kama ni vyangu vile. Cha msingi, kaa na mkeo myaongee na kuyamaliza. Jitahidi Sana kujizuia hasira zako zisikutawale pindi unaongea nae. Hebu jifikirie kwanza, kaanza lini hiyo tabia? (Kama mwanzoni hakuwa hivyo) Pia, huyo mkeo...
  15. mr.mirror

    JamiiForums Tanzania Hii stori kuna mahala niliikuta nikaona tukashare ili kuongeza siku

    Ina ukweli ndani yake mkuu
Back
Top Bottom