Hivi wake zenu wapo kama huyu wangu?

Hivi wake zenu wapo kama huyu wangu?

Kuna mdogo wangu ambae hali yake kiuchumi si mzuri kwa kipindi kirefu, alipata matatizo akapoteza ajira, mm ndie msaada wake hapa mjini maana wana mapacha wachanga na mtoto wa class 4

Sasa kila akija nyumbani kwangu kuomba msaada mke wangu atapiga kelele kutwa nzima kwamba nachezea hela nagawa hovyo, kila akimuona huyu jamaa kwetu ataniita na kuniuliza kuwa " kafuata hela au?"" Mm hujibu kwa swali pia " hela ni zako?" Then narudi sebuleni kuendelea na mazungumzo na mgeni wangu

Hali hii ipo kwa wageni wangu mbali mbali wanaokuja kwangu hadi imefikia pahala nimechoka
Kuna wakati alianza kukataa kupokea 5000 ya matumizi ndani kwamba naachaje pesa hiyo wakati natapanya hela kwa ndugu zangu, kitu ambacho si kweli, maana nyakati zinatofautiana, kama fedha ipo huwa natoa Mara moja matumizi ya wiki nzima na ninanunua vitu kwa jumla

Kumsaidia mdogo wangu ni suala lisiloepukika maana hata yy aliwahi kunisaidia sana nilipokua juu ya mawe, na mjini hapa hatujui ya kesho, hivyo sipendi kuishi kama nipo kisiwani

Hata hivyo jambo la kusikitisha ni kuwa wakija ndugu zake hali ni tofauti, ambapo atawakirimu kuanzia mapishi ya siku hiyo yatabadilika na baadae atadai nitoe na nauli

Sasa nikapenda niwaulize na nyinyi pia wake zenu wapo hivyo? Na Tiba gani hasa inaweza kufaa kutibu tatizo hili? Uaminifu, Upendo na ustahimilivu anao ila hiyo tabia ya miaka nenda Rudi ndio kero kwangu

Mkuu sio ww tuu wapo wengi....ndio maana unawafikiria wale wanaoanzisha hata miradi bila wake zao kujua....source ni tabia km hiz, solution ni kukomaa nae tuu na wala usibague kwao wakihitaji msaada watoe na kwenu pia,
 
Huyo mwanamke mchoyo anapenda ndugu zake tu hivyo kuwa makini sana atakuja kuhamishia ndugu zake wote hapo kwako
 
Kuna mdogo wangu ambae hali yake kiuchumi si mzuri kwa kipindi kirefu, alipata matatizo akapoteza ajira, mm ndie msaada wake hapa mjini maana wana mapacha wachanga na mtoto wa class 4

Sasa kila akija nyumbani kwangu kuomba msaada mke wangu atapiga kelele kutwa nzima kwamba nachezea hela nagawa hovyo, kila akimuona huyu jamaa kwetu ataniita na kuniuliza kuwa " kafuata hela au?"" Mm hujibu kwa swali pia " hela ni zako?" Then narudi sebuleni kuendelea na mazungumzo na mgeni wangu

Hali hii ipo kwa wageni wangu mbali mbali wanaokuja kwangu hadi imefikia pahala nimechoka
Kuna wakati alianza kukataa kupokea 5000 ya matumizi ndani kwamba naachaje pesa hiyo wakati natapanya hela kwa ndugu zangu, kitu ambacho si kweli, maana nyakati zinatofautiana, kama fedha ipo huwa natoa Mara moja matumizi ya wiki nzima na ninanunua vitu kwa jumla

Kumsaidia mdogo wangu ni suala lisiloepukika maana hata yy aliwahi kunisaidia sana nilipokua juu ya mawe, na mjini hapa hatujui ya kesho, hivyo sipendi kuishi kama nipo kisiwani

Hata hivyo jambo la kusikitisha ni kuwa wakija ndugu zake hali ni tofauti, ambapo atawakirimu kuanzia mapishi ya siku hiyo yatabadilika na baadae atadai nitoe na nauli

Sasa nikapenda niwaulize na nyinyi pia wake zenu wapo hivyo? Na Tiba gani hasa inaweza kufaa kutibu tatizo hili? Uaminifu, Upendo na ustahimilivu anao ila hiyo tabia ya miaka nenda Rudi ndio kero kwangu

Hata mm wangu alishawahi kunileteaga michongo hiyo,nilimvumilia sanaaa ila cku moja ilinibidi ninchane live kuwa endapo atazidi kuniwekea option kati yake yy na ndugu zangu basi nitachagua ndugu zangu coz wale ni damu yangu ilikuwa inaniuma kuona anawachukia wakati wao wala hawajawahi kumfanyia baya.but tokea nilivyomchana mpaka Leo heshma kwa ndugu zangu imekuwepo na wanaheshimiana sana.
 
Naona anajisikia raha sana na sifa pale anapoona anaombwa hela kila siku
 
Ndo Madhara Ya Kuchukua Tu Kwny Vigodoro Ucku, Na Asubuh Mnakua Mke Na Mume.

Mimi Kama Mchungaji Nakushauri Uckate Tamaa Endelea Kuzungumza Nae Kwa Upendo,upole,utulivu. Lakini Pia Ebu Mumpe Yesu Atawale Maisha Yenu Ambapo Yeye Atakuwa Mwamuzi Wenu. Maisha Ya Ndoa Bila Mungu, Utaona Ndoa Kama Jehanum Ndogo.

Lakini Pia Kama Una Hela, Ebu Mwezeshe Mdogo Wako Aanze Kufanya Chochote,hata Kama Mke Wake Kupika Keki, Ili Kujiwekea Mcngi Wa Maisha Yao. Mungu Akubariki Kwa Ushauri Zaidi Kupiga Cm. Mch.0786100772, au 0757856336

acha kufanya matangazo ya biashara humu bila kulipia eboooo
 
Kama ana uwezo wa kumpa mkewe buku 5 kwa siku anashindwa kutafuta mtaji hata wa laki 3-4 akampa kaka yake afungue kigenge au kiosk au kibiashara? Au anaona raha kuombwa ombwa????

kuna wengine hizo kazi hawazitaki hata kuziona acha mbali kuzisikia...hivi unawajua vzuri wanaume wa mjini?!
 
Sijaingia kwenye ndoa, lakini kiufupi nashauri hao ndugu zako(mdogo wako na wengine Kama wapo) uwe unawasiliana nao, ili km unayo pesa ya balance yako ambayo mkeo hafaham Kama unayo basi unawasaidia. Maana sio lazima Sana waje home; maana akiwaona tu amekariri Kama wamefuata pesa.
Vile vile kaa na wife ongea nae juu ya ukaribu wako na mdogo wako namna ambavyo huwa mnapigana tafu.
 
badilisha utaratibu..kutana na mdogo wako nje ya nyumbani umpe hela huko ila si nyumbani tena
 
Back
Top Bottom