Lahaula...!!!Kwa ninavyofahamu, zamani kidogo kuna kemikali ilikuwa inaitwa Alar ndio ilikuwa inatumika kupulizwa kwenye matunda (Apples) ili kufanya yasioze. Hii ilitokana na kuwa, ilikuwa inasababisha magonjwa ya Cancer (japo sijui ni cancer aina gani).
Hata ukimenya, bado iliendelea kuwepo ndani ya tunda.
Hiyo chemical alar ilikuwa inaxuia magonjwa ila jua apple ni temperate crop hivyo halihalibiki kwa kuwa baridi inaxuia ukuaji wa vimelea ambayo vinafanya. Matunda kuhalibika
linapuliziwa dawa ya kuhifadhia maiti
Ni kitu ama chemical gani inayotumika kulihifadhi apple mpaka linakaa kwa muda mrefu bila kuharibika na kama ni chemical nini madhara yake kiafya?