Hii stori kuna mahala niliikuta nikaona tukashare ili kuongeza siku

Akhy D

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
365
500
NAMNA WAZAZI WA NAVYOONGEA NA MABINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI!
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!
Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?
Miaka 26: Wenzio wanaolewa.
Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha kuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!
Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kule anaombea unaweza kupata mchumba
Miaka 36: At least pata mtoto mmoja.
Miaka 39: We will take care of all the wedding
bills...yeyote ni sawa.
Miaka 45: hivi kweli nani alikuroga.?
Kweli au Si Kweli?
 
Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
8,224
2,000
Aisee..!!! Sema umri unavyosogea na wao ndio stress za ndoa zinavyokuwa kubwa.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,932
2,000
NAMNA WAZAZI WA NAVYOONGEA NA MABINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI!
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!
Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?
Miaka 26: Wenzio wanaolewa.
Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha kuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!
Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kule anaombea unaweza kupata mchumba
Miaka 36: At least pata mtoto mmoja.
Miaka 39: We will take care of all the wedding
bills...yeyote ni sawa.
Miaka 45: hivi kweli nani alikuroga.?
Kweli au Si Kweli?

Mama,baba na watu wote wanaowazunguka wanapenda kuwaona wakiolewe ila wao wenyewe watakwambia hawataki kuolewa!
 
Ficus

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
1,445
2,000
Kweli kabisa ambition ya mwanamke yeyote ni ndoa kwanza mengine yatafuata!
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,255
2,000
Mambo kama haya ndio yanafanya watu kuvamia ndoa....!
 
Kaveli

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
4,024
2,000
There are some elements of Truth in this topic.

Ila AGE ain't a thing kama mtu ukimpenda kwa dhati, wanaolewa tu bhana. Mfano mbona mimi nataka kumuoa cute b japo kanizidi miaka 7 na anaanza kuonekana kuzeeka. Naujua utamu wake. Teh
 
cute b

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
16,929
2,000
There are some elements of Truth in this topic.

Ila AGE ain't a thing kama mtu ukimpenda kwa dhati, wanaolewa tu bhana. Mfano mbona mimi nataka kumuoa cute b japo kanizidi miaka 7 na anaanza kuonekana kuzeeka. Naujua utamu wake. Teh

Wew umelogwa... sasa ndio nini kunitangaza huku. Ha ha ha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom