Nan anahujumu kampun mbov huduma mbov hata service mbovu,jumatano tu ndugu yangu anatoka karatu to dar gari kufika moshi limeharibika,kubadilisha likaletwa jingine kufika uchira mafuta hakuna kumbuka hapo ni saa sita,kali yao kufuata mafuta na dumu masaa mawili na kupelekea gari kuondoka saa...
mkuu una kibali cha kufuga kware? hawa kware walileta shida kwa rafiki yangu na akapoteza kaz na aliyekuwa naye wakati wanashikwa na maliasili hadi leo yupo kisongo jela.
Mkuu unakibali toka maliasili? hii biashara ya quail farming ni nzuri sana na inalipa sana ila inatakiwa uwe na kibali kwani kware ni mali ya serikali inayopatikana porini. Mayai ya kware yanafaida kubwa sana mwilin kama kurudisha cd4 vitami inatibu magonjwa mengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.