Anaye ufahamu vizuri shule ya Ebonaishu Arusha anieleze tafadhali

Anaye ufahamu vizuri shule ya Ebonaishu Arusha anieleze tafadhali

C.Thady

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
589
Reaction score
155
Wakuu naomba maelezo juu ya hiyo shule kwa yeyote anae ifahamu tafadhali
 
Naifahamu. ni shule inayomilikiwa na kkkt. ina kidato cha 1-6 ni mchanganyiko wavulana na wasichana. iko kilomita moja kutoka sanawari stand.
 
Ufundishaji maisha ya shule na mazingira basi ada sio tatizo

ina mazingira mazuri ila ina michepuo miwili tu hgl na hge walimu ni wale wa upe wanafundisha lakini matoto huwa hayafaulu
 
Ni mtambo wa kuzalisha div three,four na zero.

hii ni kwa mujibu wa madaraja ya awali.
 
Kwa shule nzuri arusha private ni st. Teresa kwa wasichana na edmund rice ni nzuri kulinganisha na enaboishu
 
Kwenda five na six nikupoteza muda angalia option za vyuo
 
shule iko poa kama unaenda kusoma na sio kufanya mengine. Mazingira mazuri na hamna shda ya chochote kama maji n.k na walim wako full time.
 
shule iko poa kama unaenda kusoma na sio kufanya mengine. Mazingira mazuri na hamna shda ya chochote kama maji n.k na walim wako full time.

Ewaaa asanteh mkuu bora wewe umenene maana Mimi nauliza kuhusu walimu na mazingira wengine wanasema Mara ooh watoto hawasomi
 
Kwa shule nzuri arusha private ni st. Teresa kwa wasichana na edmund rice ni nzuri kulinganisha na enaboishu

Nzuri kisa tu ni ya wakatoliki na ufaulu mbovu sasa kuna faida gani??
 
ina mazingira mazuri ila ina michepuo miwili tu hgl na hge walimu ni wale wa upe wanafundisha lakini matoto huwa hayafaulu

Tatizo ni mitoto kuanza mambo mengine inapokuwa shule ila matokeo yao ya mwaka Jana mbona yapo vzuri tu hakuna ziro wala four na three ni chache
 
Shule nzuri hiyo na watoto wanafauli ... mimi nilisoma hapo kidato cha tano nikahama.

Kwanini ulihama kama nzuri? Mi najua wanafunzi wake hasa wa kike wengi wahuni sana usiku wapo disco pin point, asubuhi wanaingia na wanafunzi wa day shuleni!
 
Nzuri kisa tu ni ya wakatoliki na ufaulu mbovu sasa kuna faida gani??[/QUOTE
Acha udini wewe, sasa unailinganisha inaboishu na edmundi rice or st teresa kielimu? Hauko sirias wewe embu acha uvivu google matokeyo ya necta then ulinganishe
 
Back
Top Bottom