ndugu wadau nahitaji kufuga ndege kwale (quil)​ naomba yoyote anaye jua mahali wanapo uzwa na bei zake nitashukuru
Kaka unauzaje hao vifaranga?
Ninao vifaranga 100 wa kware ninauza .... pm please
Bei ya kwale mmoja akishafikia hatua ya kuliwa ni kiasi gani mkuu?
dah.. mkuu nashukuru sana kwa offer..mkuu Excel
Kware dume Tsh 8,000/= na siyo jike anayetaga
Unahitaji wangapi wa kula?
Buy 5pcs get 1 free .... watakuwa wamechinjwa na firigisi zake utapata
mkuu una kibali cha kufuga kware? hawa kware walileta shida kwa rafiki yangu na akapoteza kaz na aliyekuwa naye wakati wanashikwa na maliasili hadi leo yupo kisongo jela.