Recent content by mr lito

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe maarufu jamani.. Nifanyeje??

    Kufa, Hakuna kitu kinampa mtu umaarufu kama kifo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji mmoja huko Marekani asifu mauaji ya mashoga Orlando

    Povu linakutoka na ww mwenzao nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji mmoja huko Marekani asifu mauaji ya mashoga Orlando

    Huyo ni yesu ndomana alisema hivyo kama na wewe yesu hakuna shida
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali namna ya kufungua blog

    Mkuu kama hutojali ningependa kupata mawasiliano yako. Kama utakua tayali ni PM tu Nitashukuru
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali namna ya kufungua blog

    Msaada tosha sana nashukuru sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali namna ya kufungua blog

    Nifanyeje ili post za blog ziweze kutoa kwenye matokeo ya google pindi mtu akitafuta habari ambayo ipo ndani ya blog yangu?
  7. M

    JamiiForums Tanzania UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

    Ronaldo anakosa penalt
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Mkuu Majaliwa anajuwa kiingereza?

    Wewe unaye uliza ni rasi simba?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

    Iliwahi kunitokea. Moja ya sababu ni uume kusimama kwa mda mrefu. Dawa yake ni dioxyn hii ni ant biotic utapona ndani ya siku 2. Sina uwakika kama nime patia spelling za hizo dawa ila ukienda pharmacy watakuelewa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa bahati nasibu (mkeka) umenitoa kimaisha

    Wenae ni boya wao wanakupa mashine ww unafungua ofisi sehemu uitakayo nikupigie picha nipo na mashine nne hapa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa bahati nasibu (mkeka) umenitoa kimaisha

    Janja zako za kupigia debe kampuni za kubet peleka vijiwe vya kahawa humu watu wanajishughurisha, Nina ofisi za kubetisha najionea vijana wanavyo pigika
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM Acheni Ushamba. Sare zenu Shughuli za Kitaifa za Nini?

    Yani ww ndo shule huna kabisa kwahiyo serikali ya ccm inajiendasha kwa pesa za wana ccm pekee ? Wananchi toka vyama vingine hawachangii maendeleo ya taifa lao
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa bahati nasibu (mkeka) umenitoa kimaisha

    Weka huo mkeka ulio shinda tuone
  14. M

    JamiiForums Tanzania Fuvu la binadamu ndani ya Ofisi ya Diamond

    Magazeti ya kiu ndo yana mada za kipuuzi kama hizi kaombe kazi utapata
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Ww boya hilo ni swali la kindezi? Hilo ndo swali linalo mkosoa mwandishi kwa 100 %
Back
Top Bottom