Nataka niwe maarufu jamani.. Nifanyeje??

:D:D:D Watu wanatafuta hela wewe unatafuta kiki JF. tukana kila aliecomment kwenye uzi wako lazima utaupata.
 
tembea mtupu barabarani huku umeshika bango mkononi lililoandikwa 'ni mimi NITAKUFA LINI wa JF'
 
Nenda JamiiForums.com...ktk jukwaa la Hekaya...uwe Una copy story then uje Ku paste huku
Ila badili ID...weka jina fupi halafu rahisi....

by the way wewe ni mwanafunzi?



Meffi ya Kuku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom