Mchungaji mmoja huko Marekani asifu mauaji ya mashoga Orlando

Status
Not open for further replies.
Hivi nyie mnaochukia mashoga na kushangilia huyo mchungaji mna tofauti gani na wale wazungu wanaoamini mtu mweusi ni half human na wangekuwa na uwezo mngerudi kuwa slaves au mngemalizwa wote, nyie mnabidi mkaishi pamoja na ile mizungu mibaguzi ili mtengeneze society yenu ya hate

Koba wewe ni shoga.
 
Ushoga haufundishi wala kulazimishwa,mashoga ni mashoga tu wapo, walikuwepo na wataendelea kuwepo na hakuna chochote mtafanya zaidi ya maneno yenu ya kashfa tuu tena nyuma ya keyboard na jamii zote zilizostaarabika zimewaachia waishi maisha yao na kuwalinda kama binadamu wengine na wengine ndio kila kukicha mnazama baharini kukimbilia hizo nchi
Ushoga ni laana fullstop. Mwishowe mtasema mtu akilala na mama yake hamna shida "si kampenda mwenyewe"
 
Watu walimleta mwanamke aliyekutwa akizini kwa Yesu. Sheria ilikuwa inasema mwanamke akikutwa anazini ni sharti apigwe mawe mpaka kufa. Sasa walipofika kwa Yesu, wakamwambia Yesu kutokana na sheria zetu huyu mwanamke anatakiwa kupigwa mawe mpaka afe. Yesu akawaambia, asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe. Yesu aliinama chini na kuandika na aliposimaa wote kuanzia mdogo mpaka mkubwa waliondoka. Yesu akamwambia yule mwanamke, nenda zako na husitende dhambi tena.

Huyo ni yesu ndomana alisema hivyo kama na wewe yesu hakuna shida
 
Mimi sio shoga ila ni very unfair kuwabagua hawa watu

I get you.

Lakini hapa unatwanga maji kwenye kinu.

Hawa wala vumbi wengi kwanza wako kwenye denial na pili hawana exposure ya kutosha.

Laiti wangejua kuwa baadhi ya vitu wavitumiavyo kila siku maishani mwao uwepo wake umechangiwa na mashoga basi wasingekuwa wanatapika upumbavu namna hii.

After all, sexual orientation ya mtu mimi inanihusu nini?
 
Delicious mkubwa ww
Watu walimleta mwanamke aliyekutwa akizini kwa Yesu. Sheria ilikuwa inasema mwanamke akikutwa anazini ni sharti apigwe mawe mpaka kufa. Sasa walipofika kwa Yesu, wakamwambia Yesu kutokana na sheria zetu huyu mwanamke anatakiwa kupigwa mawe mpaka afe. Yesu akawaambia, asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe. Yesu aliinama chini na kuandika na aliposimaa wote kuanzia mdogo mpaka mkubwa waliondoka. Yesu akamwambia yule mwanamke, nenda zako na husitende dhambi tena.
 
Hivi nyie mnaochukia mashoga na kushangilia huyo mchungaji mna tofauti gani na wale wazungu wanaoamini mtu mweusi ni half human na wangekuwa na uwezo mngerudi kuwa slaves au mngemalizwa wote, nyie mnabidi mkaishi pamoja na ile mizungu mibaguzi ili mtengeneze society yenu ya hate

Povu linakutoka na ww mwenzao nini?
 
ISIS ni GODDESS, HORUS na OSIRI pls google. ubarikiwe
Mwisho wenu umefika mnakanyagwa kama mbwa koko na hamna pa kutokea sasa,mnadanganyana bikira saba na kuua watu wasio na hatia kwa sababu hawaamini upumbavu wenu wa karne ya saba,mnaamini mungu ni wa kwenu tuu na kuchinja binadamu kama kuku nyie kama sio wehu nini? ila mmepata dawa yenu sasa maana kinachoendelea sasa is like a genocide ingawaje media hazitangazi mnamalizwa bila msamaha na watahakikisha mmebaki vumbi tuu kajiunge nao sasa acha kupiga ubabe kwenye keyboard tuu mwehu wewe
 
naona wewe ni kichaa pase! mimi ni MKRISTO! sasa una cha kusema ndugu yangu! mwogope MWENYE ENZI MUNGU kwenye nafsi yako! zishinde hizo hasira ndani yako usije ukazaa dhambi!
kuwa mtu mwema katika jamii ili watu wanao kuzunguka wapate mema! kumbuka 'what goes around comes around' .
 
Mwisho wenu umefika mnakanyagwa kama mbwa koko na hamna pa kutokea sasa,mnadanganyana bikira saba na kuua watu wasio na hatia kwa sababu hawaamini upumbavu wenu wa karne ya saba,mnaamini mungu ni wa kwenu tuu na kuchinja binadamu kama kuku nyie kama sio wehu nini? ila mmepata dawa yenu sasa maana kinachoendelea sasa is like a genocide ingawaje media hazitangazi mnamalizwa bila msamaha na watahakikisha mmebaki vumbi tuu kajiunge nao sasa acha kupiga ubabe kwenye keyboard tuu mwehu wewe

koba ndugu yangu tena wewe ni mtu mzima, jamani mbona haipendezi kabisa!
 
I get you.

Lakini hapa unatwanga maji kwenye kinu.

Hawa wala vumbi wengi kwanza wako kwenye denial na pili hawana exposure ya kutosha.

Laiti wangejua kuwa baadhi ya vitu wavitumiavyo kila siku maishani mwao uwepo wake umechangiwa na mashoga basi wasingekuwa wanatapika upumbavu namna hii.

After all, sexual orientation ya mtu mimi inanihusu nini?
Kwa hiyo hata huyo mchungaji anaewapinga ni mla vumbi anaeishi dunia ya pili na hana exposure?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom