Recent content by Mr Kitwika Jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pole January Makamba

    Alichofanya JM yumkuni kwelihakifai lakini wewe hufai zaidi wala ukristo si fungu lako, umejaa unafiki mkubwa, Kwanini hukukataa posho, msosi na Matunzo uliyopewa? Unapata wapi nguvu ya kumsema JM wakati wewe pia ni sehemu ya huo uchafu? Tuache unafiki watanzania............ Hapa unatafuta...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani aweza kuwa kushika dola 2015, je ni ccm au cdm? Why?

    Future is Uncertain. Subiri 2015 uone.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbatia wabunge hawana wasaidizi makini

    Hapo tu ni mbunge wa kuteuliwa, akichaguliwa je? ...... Hao ndio wabunge wetu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yakerwa na vyama vingi.

    Mtazamo wako tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania KINANA: Sina nywele kichwani kwa sababu ya kufikiria matatizo ya Watanzania

    Dah! Uongo mwingine sasa umezidi.... Hata kama ni siasa lakin hapo kachemsha mazima.
  6. M

    JamiiForums Tanzania KINANA: Sina nywele kichwani kwa sababu ya kufikiria matatizo ya Watanzania

    Dah! Uongo mwingine sasa umezidi.... Hata kama ni siasa lakin hapo kachemsha mazima.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

    Mmmh! Hii komed imenichekesha sana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Great

    Welcome!
  9. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Be good to DRC . Others like Kenya Uganda Rwanda can proceed on their own

    It is very true.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Obama anaambatana na George W. Bush kuja Tanzania

    liberalization ina madhara sana, Tena ni mfumo kandamizi na wenye ubabe mwingi, kosa halikufanyika jana wala juzi, kauli ya nang'atuka ya Hayati baba wa Taifa ilikuwa imelenga kuukimbia unyama huu, Heshima kwa mwalim, rest in peace mzee, watanzania tumetawaliwa tena, hatuna chetu hata kimoja...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jamani utamu wa muziki si mchezo

    Ametisha
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama Mavi.

    heeeeeeeeeee! Jamani akili zingine......
  13. M

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanzania ni kama koti ukitubana tulivue alisema karume

    Hayati Nyerere, baba wa taifa aliwahi kusema kuwa kama angekuwa na uwezo wa kukisogeza mbali zaidi na hapo kilipo angafanya hivyo, hii inaonyesha wazi kuwa yeye binafsi hakuutaka muungano bt namsifu kwa uamuzi wa kuungana na zanzibar kwa shinikizo la wakubwa(inavyosemekana.) Leo wazanzibari...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimecheka sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    Dahhh! Inachekesha bt tells the real life ya vijana wa kizazi cha . com
  15. M

    JamiiForums Tanzania Alhamisi nitafunguka-Lwakatare

    Jaman wadau, watanzania wote tunao uhuru wa kutoa maoni, tusilumbane bure kuhusu Lwakatare, Suala la lwakatare liko kisiasa kwa asilimia nyingi, Lakini msisahau kuwa uchunguzi unaendelea na mbivu na mbichi zake zitajulikana, naamini uongozi wa chadema unafanya vyovyote wawezavyo kuhakikisha Mr...
Back
Top Bottom