Move this to legal matters.
Vyovote vile Tangayika's TS/EEZ ni ndogo ukizingatia TS/EEZ za Mozambique,Kenya na Zanzibar.
Nimeamini kuwa IQ za wazenji wengi zinatia kinyaa. Huu utumbo kampelekee Maalim na uamsho
ukweli ni mchungu lakini hakuna budi udhihirishwe hata kama utaua mtu
myhem Mwingine huyu hapa! Yaani nilifungua nikasikitika kuona kuna watu wana akili za ajabu ajabu sana.Nimeamini kuwa IQ za wazenji wengi zinatia kinyaa. Huu utumbo kampelekee Maalim na uamsho
Je huoni kwamba hasira chuki machungu ya umaskini vimekufanya ushindwe kujua adui yako ni nani?Kama unamjua, kwa kushindwa kumtaja na kumweleza wazi wazi na ukatumia mbinu chafu ya kutukana watanzania bara kwa ujumla ili washikwe hasira,unadhani utafikia malengo yako?Pengine unachokidhani wewe ni ukweli,ndicho hakionekani kwenye andiko lako hapo juu!Watu zaidi ya milioni 40 wenye kila utajiri wa rasilimali,wote kwa ujumla wao wanawanyonya watu milioni moja!Ndio maana jamaa akahoji suala la IQ!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ndugu zanguni watu weusi wenzangu..nimesikitishwa sana kufikia hatua wazee wetu watu weusi wenzetu, walipgania uhuru kwa mali na nafsi zao, walipoteza maisha na adhabu kedekede zilizowapata ili vizazi vyao yaani sisi waafrika watu weusi kokote tulipo duniani iwe visiwani au barani au ata nje ya bara la afrika, tuishi kwa kujitawala na kwa starehe huku tukiishi kwa mapenzi bila kudhulumiana.
kinachoniskitisha ni kuona waafrika wenzetu na majirani zetu ambao kiuasilia baadh ya ndugu zetu ni asili zao, wametugeuka na kudharau kazi kubwa walizozifanya mababu na mabibi zetu, baada kuondoa wakoloni waliokua wakitutesa kwa UNAFIKI NA TAMAA waliamua kutugeuka na kua wao ni wakoloni weusi, kuanza kuchukua kilichochetu na na kutuminya kimaisha mpka tukakosa pumzi, imefikia hatua bora mkoloni mweupe ambae si katika sisi alitutawala kwa busara, mkoloni huyu mweusi mwenzetu ana makali zaid ya wakoloni wanzungu, ametuuwa, ametunyanganya, ametutesa, anatuchagilia wa kutuongoza, ametufunga bila hatia, ametubakia dad zetu, watu hawa ni mzgo mzito kwa watu wa visiwani ambao ni dhaifu na ni wachache mno!,
huu ni usaliti na unafiki kwa waafrika, unapaswa ulaaniwe na waafrika wote. hili ni zigo la mavi zito, linanuka, halibebeki na halikokoteki.
nawasilisha
Zanzibar ni nchi inayolishwa na kuvikwa na Tanganyika kila siku.
Zanzibar haijiwezi kwa chochote kiuchumi.
Uchumi unaotegemea Nazi na Urojo ndio ukaongeze nchi ya Zanzibar?
Mtoto akililia wembe mpe.