Luiz David
Member
- Jun 13, 2013
- 56
- 20
Ndugu wadau nafuatilia kwa kina mijadala anuai hapa nchini..iwe rasmi na isiyo rasmi...nagundua kuwa kuna daraja limejengwa na serikali kwa ubia mkubwa na chama tawala likilenga kukwamisha mafanikio ya vyama vya upinzani na wanaharakati......kama wana demos tunahitaji mtazamo tofauli ili sura iliyo asisiwa na wanamageuzi isififie mikononi mwetu.....nawasilisha.