Recent content by MR Kilimanjaro

  1. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa mume wangu, nikimkosea anaishia kulia

    Hiyo hana hela ya kununua mkaa gunia kumi akipata utamwelewa tu
  2. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mashine ya kuchomea

    Wakuu katika kutafuta kipato nimepata sait ya kuchomea hivyo. Natafuta Mashine ya kuchomea uwezo 400 au 500A. 0620618966 Nipi Kilimanjaro Rombo.
  3. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kati ya kusoma au kusubiri kuajiriwa

    Naomba ushauri Niamzie nyuma kidogo ili nieleweke kidogo. Mwaka 2015 nilisomeshwa chuo cha veta (fani ya umeme) hadi 2016 nikamaliza mwaka wa kwanza sikuweza kuendelea na mwaka wapili sababu ya ada mtiani wa mwaka wa kwanza kuingia mwaka wa pili niliufanya (life skills) nikafaulu kuendelea na...
  4. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Taja sheria moja ya gari ya polisi aina ya Defender

    Halina rafiki hata uwe mwema likitokea huko speed likisimama mbele yako lazima utajisachi kimoyomoyo isije ikawa ulisahau kulipa mgahawani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yalipiza kisasi tena, yafunga mpaka wake wa Holili baada ya Kenya kuzuia madereva wa Tanzania kuingia Kenya

    Kenya kuna vipimo vya kupima wajawazito tu.
  6. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

    Kasema la maana mbona nyie mnatuuzia vitu bei juu? Yaan tutawatwanga haswa alaaaaa
  7. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Ni tukio gani hutalisahau katika malezi ya mtoto kuanzia age 0?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Qn
  8. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Kuna kuolewa hapa kweli?

    yaani unaliwa nyuma af uolewe kwazamani ilikua tusi ila sasa ni fesheni pole!. Qn
  9. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mdomo (lips) kukauka sana

    Nina mdogo wangu umri 17 mdomo wake uliaza kukauka na kuuma nyakati za asubuhi sasa kadri Siku zinasongea hali inazidi kuwa mbaya mdomo una kauka sana hadi kuna dalili ya vidonda sasa naombeni msaada nimsaidieje? Asanteni
  10. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Qn
  11. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Huyu ndege anaitwaje?

    Hapana kitu kigeni hua kinatisha na likoromeo lake kubwa hivyo alafu linajiamin hata alikimbii mm nikaona nijiongeze. Qn
  12. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Huyu ndege anaitwaje?

    Nilikua sijamwonaga ndege mkubwa namna hiyo alafu hana woga. Qn
  13. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Huyu ndege anaitwaje?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kuna mahali nilimwona kwa ushamba wangu nikaogopa kushuka kwenye gari nikaona huyu hana usalama anaweza nichangamkia nilishuka nakukimbilia dukani kununua soda ila hata nilikua sina mpango wa soda. Qn
  14. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina corona

    [emoji23][emoji23] yan hapo mtiani tayari. Qn
  15. MR Kilimanjaro

    JamiiForums Tanzania Moment ambayo hauwezi kuisahahau

    Fafa nua kidogo iyo adhabu ya kunyonya mafuta inakuaje maana nishapewa iyo ya kubeba dunia Qn
Back
Top Bottom