Msaada: Mdomo (lips) kukauka sana

MR Kilimanjaro

JF-Expert Member
May 5, 2019
249
355
Nina mdogo wangu umri 17 mdomo wake uliaza kukauka na kuuma nyakati za asubuhi sasa kadri Siku zinasongea hali inazidi kuwa mbaya mdomo una kauka sana hadi kuna dalili ya vidonda sasa naombeni msaada nimsaidieje?

Asanteni
 
Mpe machungwa kila baada ya masaa 4, mpatie dawa za Vitamin B Complex. Ndani ya siku tatu uje ulete ushuhuda hapa.
 
Back
Top Bottom