MR Kilimanjaro
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 249
- 355
Naomba ushauri Niamzie nyuma kidogo ili nieleweke kidogo.
Mwaka 2015 nilisomeshwa chuo cha veta (fani ya umeme) hadi 2016 nikamaliza mwaka wa kwanza sikuweza kuendelea na mwaka wapili sababu ya ada mtiani wa mwaka wa kwanza kuingia mwaka wa pili niliufanya (life skills) nikafaulu kuendelea na mwaka wa pili.
2016 nikachukuliwa na ndugu kwenda hukoo mjini ili nikamalizie mwaka wa pili ila haikua ivyo badala yake kutumikishwa tu na kazi za Ndani nilikua kama hous boy kwanzia 2016 hadi 2018 (miaka 2) Nikatoroka nikarudi nyumbani kijijini.
Nyumbani nilijishuhulisha na kilimo na ufugaji kidogokidogo hadi sasa nina mradi wa kuku na mashine ya kutotolesha na mashamba makubwa tu nimejitahidi nimejinga kanyumba ka Chumba 2
=)sasa Kajitokeza mfadhili kaniambia nikamalizie mwaka wa pili na hadi sasa nipo shule tayari.
Nikiwa naendelea na umeme baada ya vyuo kufunguliwa na Mh Rais
Mimi huku natwka nisomee somo la fani tu (theory na practical)
Naomba ushauri
Kama kuna ulazima kusoma masomo yote kama math, eng- ,nk japo nimeishia la 7.
(Mimi nataka kujiajiri na nishajiajiri na kazi za umeme napata kidogo nataka nikiwa hapa shule niibie kwenye masomo ya computer na welding vitanisaidia kwenye ofis yangu)
Karibuni mnishauri nisome masomo yote nisubiri kuajiriwa au nichukue masomo ya fani nije kujiajiri?