kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,871
- 4,155
Mzee acha kuvuta sigara,hayo yote uliyoyataja ni madhara yatokanayo na uvutaji wa sigara.
Sivutagi chochote.Mzee acha kuvuta sigara,hayo yote uliyoyataja ni madhara yatokanayo na uvutaji wa sigara.
Sasa si jiamini kama ni corona pia sina uhakika kama hosoital iliyo karibu inapima huu ugonjwa
Qn
Kumbe una majibu yako kwanini umekuja kuulizaKwa hii hali ya mafunzoni leo sijaenda kuhofia kusambaza (kama nitakua nao) na leoleo wame sitisha kwa muda hadi taarifa itakapo tolewa.
Qn

yan hapo mtiani tayari. usiache kuelezea na lile neno la siri la sm zako na ATM card zako zote. Tena usizishike tena. Zaidi ya yote usisafiri tena. Ila omba ufe weye tu sisi ndugu zako tukuweke pema