Recent content by Mr.kichuli

  1. Mr.kichuli

    Keywords za kuangalia Sony z4

    Habari zenu mi naomba kusaidiwa kwa anaejua keywords za kuangalia kama Sony z4 simu ni orijino au laa,
  2. Mr.kichuli

    Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

    Kipengele cha kuwa wazazi kwa maisha tunayopitia umemaanisha nini? ,fafanua.
  3. Mr.kichuli

    Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

    ahsante kaka kunakipengele hapo cha kuwa wazazi kwa maisha tunayopitia hii umemaanisha kutunza familia ya uyatima au kuwa na mtoto au watoto wa kuwazaa niweke sawa kaka.
  4. Mr.kichuli

    Friday night fever

    Jamani naomba kujua hili tamasha linafanyika wapi maana naona tangazo tu kuwa linafanyika leo tarh27 Nov2015
  5. Mr.kichuli

    Mwanamke aliyefikia umri wa kuolewa anaitwaje kwa Kiswahili?

    Mlimbwende na kingoli nielewe lipi au yote majibu?
  6. Mr.kichuli

    Mwanamke aliyefikia umri wa kuolewa anaitwaje kwa Kiswahili?

    Habari zenu,mi naomba mnisaidie mwanamke aliyefikia umri wa kuolewa anaitwa nani kwa kiswahili?
  7. Mr.kichuli

    Si utani jamani

    Endapo atajitokeza ndo mengine ntamweleza kwani ni vibaya kutaja sifa za ninae mtaka
  8. Mr.kichuli

    Si utani jamani

    Mmi ni kijna mwenye umri wa miaka 23 n nina fanya kazi naihifadhi kwa sasa natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo...awe mwl wa prmary..sec o-level,,,,nesi au anosomea ualimu dini mkristo na ni vizuri akiwa msabato awe chin ya umri wangu hapo juu!!!!plz anitafute humu 0712620321..
  9. Mr.kichuli

    Mchanganuo jamani

    Naomba mnieleweshe jinsi mchanga nuo wa haya matokeo ukoje maana,,,,,,mfano A-1,B-2 na kuendelea hapa naulizwa sina jibu!!!
  10. Mr.kichuli

    Jeshi ni taasisi makini kweli?

    Yani asikwambie mtu hakuna taasisi makini kama jeshi kwa kila sector ndugu yangu jarbu kujua jins linavyo fanya kaz zke
  11. Mr.kichuli

    Pole sana mwigulu na ushauri wa bure kwa viongozi

    Safi sana baba angela tumekupata vizuri unahoja nzuri,ushabiki wa watu usikupotezee muda na kuacha kuandika unayoyafahamu na yenye manufaa kwetu.
  12. Mr.kichuli

    Pole sana mwigulu na ushauri wa bure kwa viongozi

    hv chuki umemwelewa baba angel? au unapönda tu vitu visivyo vya msingi,mtu kaöngelea jambo la msingi pasipo kuangalia chama we unashoboka acha ushabiki utakufa maskini..
  13. Mr.kichuli

    Nilichosikia mwandishi wa BBC Eric David Nampesya akisema kuhusu Loliondo kimenishtua

    Kiukweli loliondo ule mkataba wa miaka 100,ile ni kuuza nchi kwa sababu mpaka hata kuwinda watanzania wa kule hawaruhusiwi yaani ni nchi ya uarabuni mi nimesoma huko kwahiyo mauzauza mengi nayafahamu ila kiufupi kule sio kwetu tena,.
  14. Mr.kichuli

    Chemsha ubongo!

    hahahaha! Congrats we ni nouuma"
  15. Mr.kichuli

    Bungeni Dodoma leo - Bunge la Bajeti 2013/2014

    Mi ninahamu na bajeti ya wizara ya ulinzi tu,yaani hapo sijui?
Back
Top Bottom