Recent content by Mr.kibulala

  1. M

    natafuta mchumba wa kuoa.

    hbr wanajf,natafuta mchumba ambaye nitafunga nae ndoa.SIFA:- Umri 22-26, Elimu kidato cha 6 nakuendelea.CALL 0759377080
  2. M

    Mkuu wa wilaya matatani kwa fedha za sensa

    Wanajf, mda huu vurugu kbwa ktk wilaya ya Missenyi baada ya makarani wa sensa kudai kupokonywa malipo yao na DC... Ni mawe mtindo mmoja
  3. M

    Gharama za bunge la bajeti ya 2012/13 zinatija kwa taifa

    kufika ni ndoto,gharama hzo ni visima vingapi?
  4. M

    Gharama za bunge la bajeti ya 2012/13 zinatija kwa taifa

    wabunge390 x 200,000posho x49 siku= ?.na bdo gharama za watendaji wa wizara mblmbl waliokuwa dodoma.hya ni ma2mizi mabya
  5. M

    'Ruksa' kwa watumishi wa umma kushiriki siasa

    kwa mujibu wa sheria ya utumshi wa uma,unarhusiwa siasa ila cyo ktk eneo la kazi/mda wa kazi.pambana ucmogope - njiku dc
  6. M

    Mwakilishi SSRA apewa vidonge ndani Geita Goldmine Ltd

    inauma sna,ila wakulaumiwa ni wabunge waliotnga&kuptisha sheria,kwni wao hawaguswi kbsa,coz aftr 5yr wanapewa mafao yao
  7. M

    msaada juu ya sheria ya kutaka kukabidhiwa ofisi.

    ofisi ya serikali,jamaa aliazimwa toka idara tofauti kutokana upungufu wa watumishi kwa kpnd hcho na jamaa hana sifa
  8. M

    msaada juu ya sheria ya kutaka kukabidhiwa ofisi.

    no,ofic kwa maana chumba ni cheo,coz yy alikuwa acting
  9. M

    msaada juu ya sheria ya kutaka kukabidhiwa ofisi.

    wanajf,mi ni mtumishi takrbni 3yrs,toka nimeajiriwa cjakabidhiwa ofic,kwni aliypo hana cfa,aliazimwa kw mda 2 htaki toka
  10. M

    Tume ya Katiba kesho iko Missenyi, tuwaeleze nini?

    wanajf ndio 2ko kwenye uwanja 2nasubiri kutoa maoni,ila ratiba ya tume ni mbovu kwa maeneo kuwa mbli na wananchi
  11. M

    Tume ya Katiba kesho iko Missenyi, tuwaeleze nini?

    Shukrani mkuu, tutazingatia hayo leo
  12. M

    Tume ya Katiba kesho iko Missenyi, tuwaeleze nini?

    Wana JF, Kuanzia kesho Jumatatu hadi Jumatano, Tume ya Katiba itakuwa Missenyi (Kagera). Je, wananchi tupendekeze nini? Tafadhali weka pendekezo lako ili tuweze toa maoni
  13. M

    Hawa ndio wenye ccm.

    ni mtu na mtoto wake kabisa yaani ni damu yake mzee msuya
  14. M

    Dc-misenyi achanganyikiwa baada ya chadema kushinda

    Kwa kawaida madc ni wenyeviti wa kamati zote za siasa za ccm wilaya,kw hyo dc ni lazima awe mwana ccm,ni hli ni jambo la hatari kwani awezi kuwa fair.
Back
Top Bottom