Gharama za bunge la bajeti ya 2012/13 zinatija kwa taifa

Mr.kibulala

Member
Nov 8, 2011
58
20
wabunge390 x 200,000posho x49 siku= ?.na bdo gharama za watendaji wa wizara mblmbl waliokuwa dodoma.hya ni ma2mizi mabya
 
POSHO
Wabunge 390x Posho kwa siku 200,000x siku 49=3,822,000,000
BADO OPERATIONAL COST

Je tutafika?
 
Samahani,hiyo figure 390 ni nini?Kama wabunge bungeni kwa ujumla ni 357 lakini kwasasa wapo 352 tu!Au ina maanisha nini?
 
Samahani,hiyo figure 390 ni nini?Kama wabunge bungeni kwa ujumla ni 357 lakini kwasasa wapo 352 tu!Au ina maanisha nini?

Ni kweli wabunge wako 352 lakini watendaji ndani ya ukumbi wa Bunge achana na wale waliomaofisini idadi yao jumla inaleta 390 nao wanalipwa ingawa si wote wanaolipwa 200 000/=
 
Back
Top Bottom