Dc-misenyi achanganyikiwa baada ya chadema kushinda

Hadi ifike 2015 tutajionea makubwa sana... Mungu yupo nasi..
 
Kwa kawaida madc ni wenyeviti wa kamati zote za siasa za ccm wilaya,kw hyo dc ni lazima awe mwana ccm,ni hli ni jambo la hatari kwani awezi kuwa fair.
 
Kwa kawaida madc ni wenyeviti wa kamati zote za siasa za ccm wilaya,kw hyo dc ni lazima awe mwana ccm,ni hli ni jambo la hatari kwani awezi kuwa fair.

huu bado ni ule mfumo wa chama kimoja. katiba mpya will tkae care of this, I hope.
 
Ndugu,

Kagera tupo, sio kwamba yanayotokea kanda ya kaskazini tu hata huku yanatokea ila tu useme media kidogo ni tatizo. Salamu kwa sasa imebadilika, ni "CHADEMA ........ VEMA, PEOPLESSSS ....... POWER"!
 
Mkuu wa wilaya ya misenyi,Kanali mstaafu Isa Njiku,amechanganyikiwa baada ya kuitisha mkutano na wananchi wa kata Kyaka na kuwachimba ni kwanini waliichagua Chadema ktk kijiji cha bulfani mwezi uliopita,na kuwaeleza kuwa wamefanya kosa kubwa kutoichagua CCM,baada ya maelezo hyo wananchi walianza kumzomea.ndipo akampatia nafac ya kuzungumza Mh.mbunge(asumpta) bla kujua akaanza kumwaga sera CCM wananchi wakaanza naye kumzomea.inshort CCM HAWANA LAO MISENYI.M4C.


Hilo eneo ni muhimu sana kwa siasa za jimbo la Nkenge kama limeondoka Mh. Asumta inabidi afanye maandalizi ya kutafuta kijiwe kingine sio cha ubunge wa Nkenge.
 
Ndio maana MaDC katika katiba mpya tujitahidi wasiwepo hawana kazi ya kufanya zaidi ya kufanya ufisadi
 
Back
Top Bottom