msaada juu ya sheria ya kutaka kukabidhiwa ofisi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada juu ya sheria ya kutaka kukabidhiwa ofisi.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mr.kibulala, Jul 22, 2012.

 1. M

  Mr.kibulala Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanajf,mi ni mtumishi takrbni 3yrs,toka nimeajiriwa cjakabidhiwa ofic,kwni aliypo hana cfa,aliazimwa kw mda 2 htaki toka
   
 2. B

  BARRY JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Unataka hela au ofisi? We wapi?
   
 3. M

  Mr.kibulala Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  no,ofic kwa maana chumba ni cheo,coz yy alikuwa acting
   
 4. p

  papillon Senior Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ofisi ya serikali au private sector? Weka mazingira yote usaidiwe
   
 5. M

  Mr.kibulala Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ofisi ya serikali,jamaa aliazimwa toka idara tofauti kutokana upungufu wa watumishi kwa kpnd hcho na jamaa hana sifa
   
 6. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Waeleze wakuu zako wamfurumishe.....kwa vile wao ndo walimwazima pengine bado wanamhitaji. Waulize wao. Ushamaliza 'probation'? Wameku-confirm?
   
 7. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  cheki na mkurugenzi au utumishi wenu,je wewe binafsi umemaliza probation?na je hatma ya uyu mloazimwa inakuweje baada ya ww kuja? ila sijaelewa iyo ofisi yenu,inakuweje unaletwa mtumishi mpya kushika wadhifa na hawakupi mwongozo wa kazi?yan wewe ndo uhangaike?
   
Loading...