Recent content by Mr Kaptenovela

  1. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Kuna Wenzangu waliokimbia Additional Mathematics kama mimi?

    Hahaa mimi nilikomaa nayo hivyohivyo tu. Kuhusu kuchekwa unavumilia tu kwanza wa kuchekwa ni wengi sio wewe peke yako. Nilipata B form four na ilinisaidia kunipandisha grade nilizopata. Ikanisaidia na A'level pia.
  2. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Mwana kulitafuta mpaka kulipata

    Na CCM kamati kuu.
  3. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Mwana kulitafuta mpaka kulipata

    Atapitishwa Dodoma.
  4. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Noma sana!
  5. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kulea si mchezo, mbarikiwe wanawake

    Umenena vema kaka. Hii kazi siyo ya kitoto. Tuwaachie wenyewe tu.
  6. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Hiyo barabara ya CBD to Airport in KM ngapi?
  7. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Kumbe jf kuna hadi wakimbizi! Mi nilijua kuna wabongo tu.
  8. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Barabara ya chini ya hili daraja ni lanes ngapi?
  9. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Wanamwanza hivi mtu mshamba wa hivi asiyejua nchi yake mnabishana nae wa nini?
  10. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

    Ulitaka aagaje
  11. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Data Scientist ana earn kiasi gani?

    Kaka drone shukrani sana.
  12. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Data Scientist ana earn kiasi gani?

    Kiasi
  13. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Data Scientist ana earn kiasi gani?

    Habari wanaplatform, Ningependa kufahamu data scientist monthly wages kwa hapa kwetu Tz. Nimejaribu kutumia search engines napata kwa viwango vya huko nje. Nimeamua kugeukia humu sababu nina uhakika ntapata mawili matatu kuhusiana na dukuduku langu. Msaada tafadhali, either junior au senior...
  14. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania TCRA, hawa wa kuliza watu bado wapo, mmewachukulia hatua gani?

    Haha pole mkuu ila umemuweza lakini
  15. Mr Kaptenovela

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

    Sidhani
Back
Top Bottom