Akachunge ng'ombe wa bamkwe wake
Atapitishwa Dodoma.
Na CCM kamati kuu.Na nani?
Na nani?
Round ya 1 tu hajamaliza alafu anataka kushindana na mssigwa
Haya bhana! Mimi ni gay nashiriki mapenzi ya jinsia moja kaka.Utani huo sasa!
Jamaa aliongea mno jmn hata mwanamke Malaya aliyeona pesa ya mteja hajipendekezi kwa kiasi jamaa alivyojipendekeza. Angehama tu kistaarabu. Vipi wale walionyanyaswa kingono nao wanaendeleajeAlidhani akiongea shit kuhusu chama kilichomlea ndiyo atapendwa na MaCCM kumbe ndiy kwaanza wamemtilia mashaka wamemtia spana.
Haya bhana! Mimi ni gay nashiriki mapenzi ya jinsia moja kaka.
Nisamehe ndugu, niko addicted na shape za watia nia wa kigamboni.Naona leo ni siku mbaya kwangu na nakutakia safari njema huko kwenu