Recent content by Mr. JayJay

  1. M

    tulipofikia TZ:: Ajichoma moto mpaka kufa##kisa##maisha magumu saana hawezi kuishi!!

    Jamani huyu aliyejiua ni kaka yangu kabisa,mtoto mama yangu mdogo.Ni kweli kuwa Ugumu wa maisha yake uliosababishwa na serikali ya kifisadi isiyo na mbele wala nyuma ya Kikwete ndiyo uliyosababisha kifo chake.Sawa amekosea,lakini serikali hii inahitaji mabadiliko ili wananchi wa kima cha chini...
  2. M

    JK: Sitaingilia Mahakama

    sijawahi kuona rais aliyeshindwa kazi kama huyu jk, hana hoja hana tija. hapo anatetea Dorwans kulipwa alafu wachukue hizo hela kwa mlango wa nyuma kwa ajili ya mambo yao. hivi tutamtoaje madarakani? YAANI ATAKA HADI 2015?! TUTAKOMA WATZ HASA WANYONGE.
  3. M

    CHADEMA sasa YATIKISHA NCHI..Idara zote serikali hapashikiki!!

    Jamani naomba mtu achukue mada inayosema 'CHADEMA YATIKISA NCHI' kutoka Gazeti la Tanzania daima tuijadili kwa sababu ina maswali mazuri yaliyomshinda Nadhoha na IGP Mwema kujibu jana walivyokuwa na vyombo vya habari.
  4. M

    GE2010 JK na CCM hawataki kumhukumu mkapa na Wananchi Tunachukua Hatua Mikononi

    Nimekubali,kweli sasa tumeona how tunavyofanywa vibaya na viongozi.Kilichobaki wajameni tutafute mabadiliko tu.Tuanze na katiba mpya.
  5. M

    WikiLeaks: Tanzania official fears for his life!

    Samahani mkuu,wewe kweli una akili?,are you perfectly minded?.Yaani unataka useme hao Wikileaks wamezusha?,wangeanzaje kuzusha tu habari iliyonaswa kwenye shughuli za balozi wa Marekani kwa hali ambayo hata yeye mwenyewe Hosea amekiri kwamba ni kweli aliongea na huyo balozi ila tu anataka...
  6. M

    John Shibuda: Mbowe ni dikteta

    Kama sisi letu moja na kama ni kweli hatuna ukombozi wa kweli kwa tz,Je?,tungeifikisha CDM hapa ilipo kiasi cha kukubalika sana na waTz hadi idadi yake ya wabunge ikaongezeka kuizidi hata CUF?,na pia kutengeneza sera ya msingi ya mabadiliko ya katiba ya kuja kukubalika na watu wote na...
  7. M

    GE2010 Mbunge wa Arusha apigwa hadi kuzirai na jeshi la polisi

    Hao polisi waliokuwepo ndani,walikuwepo kwa misingi ipi au kanuni zipi?.Je?, kwenye vikao au mikutano ya Bunge huwa polisi wanakuwepo ndani?.Jamani sisi wote kama watanzania inabidi tufike mahali tumwambie Kikwete inatosha kutumia vyombo vya dola kwa maslahi binafsi ya chama...
  8. M

    GE2010 Watanzania tusikubari propagannda hizi! Ni hatari sana!

    Nimekukubali kwa hilo,heshima kwako na ubarikiwe kwa kila jambo lako lolote utalofanya.
  9. M

    Mambo ya Kikwete haya hapa...

    Sawa ni kitu kizuri kwa hili Jiji,lakini Je,huyo George Bush aliyelinunua hili jiji yeye atajifaidisha na nini?,asije kuja kufanya mambo yake binafsi yakatuumiza sisi.Sote jamani tufuatilie na kutaka kujua kwa nguvu Bush ana malengo gani na hilo jiji?.
  10. M

    JK kuhusishwa na Ufisadi

    Jamani,kwa tuhuma zilizotolewa na Dr. Slaa kuwataja mafisadi kumi na moja(11) akiwemo Jakaya,ni ukweli usiopingika kabisa.Nasema hivi kwa sababu kati ya mali alizonazo mtu huyu zinazidi sana tu kwa kipato alichonacho hata kama yeye ni Rais.Kwanza kuna Breaking News tu za umilikaji Hoteli fulani...
Back
Top Bottom