tulipofikia TZ:: Ajichoma moto mpaka kufa##kisa##maisha magumu saana hawezi kuishi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tulipofikia TZ:: Ajichoma moto mpaka kufa##kisa##maisha magumu saana hawezi kuishi!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eliesikia, Feb 5, 2011.

 1. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  MKAZI mmoja wa Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam, wamejiua kwa kujiteketeza kwa moto, kwa maelezo kuwa amechoshwa na maisha magumu yanayoambatana na kukabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni.

  Marehemu huyo, Yusuph Msema (40), ameacha waraka ambao ndani yake, amesema madeni yaliyokuwa yakimkabili ni pamoja na aliyokuwa akidaiwa na rafiki zake na ya benki moja ambayo hata hiyo, hakuitaja.

  Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Charles Kenyela, alisema tukio hilo lilitokea juzi usiku huko Mbezi Juu.

  Kenyela alisema kabla ya kujichoma moto, Msema alijimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujipulia kwa kutumia kibiriti.

  Kamanda huyo alisema marehemu aliacha ujumbe wa maandishi uliosomekana kama ifuatavyo.

  “Nimejiua kutokana na hali ngumu ya maisha na madeni ninayodaiwa na David Ligomile anayenidai Sh 700,000 na deni kuongezeka hadi kufikia Sh 1,3000,000 na kanichukulia RB."  Sehemu nyingine ya ujumbe huo ilisema "pia nadaiwa kodi ya nyumba na mwisho wa mkataba ilikuwa 31/01/2011 nilitakiwa nihame."


  Kwa mujibu wa Kenyela, ujumbe huo umedai kuwa sababu nyingine ya Msema kuchukua uamuzi huo, ni kitendo cha ndugu zake kushindwa kumsaidia kumaliza matatizo hayo wakati wana uwezo.

  Kamanda huyo alisema maiti huyo amehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia cha Hospitali ya Mwananaymala, kwa uchunguzi zaidia.

  Source: mwananchi limesheni
   
 2. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kha whatever happened to kitanzi, surely there are other lesser brutal options to commit suicide.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Who is next? Mubarak naye kasema kachoshwa sana na Urais...so atatumia njia kama ya huyu ndugu yetu? na Kaka Mkuu naye akisumbuliwa kuhusu door-ones atasemaje? au ata-opt the same option
   
 4. M

  Mr. JayJay Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani huyu aliyejiua ni kaka yangu kabisa,mtoto mama yangu mdogo.Ni kweli kuwa Ugumu wa maisha yake uliosababishwa na serikali ya kifisadi isiyo na mbele wala nyuma ya Kikwete ndiyo uliyosababisha kifo chake.Sawa amekosea,lakini serikali hii inahitaji mabadiliko ili wananchi wa kima cha chini waendelee.
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Who is next? Mubarak naye kasema kachoshwa sana na Urais...so atatumia njia kama ya huyu ndugu yetu? na Kaka Mkuu naye akisumbuliwa kuhusu door-ones atasemaje? au ata-opt the same option
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Mr.J miongoni mwa madai yake ni kwamba ndg zake mmemtosa kiaiana, so naomba muwe na utamaduni wa kusaidiana, no matter what ameshawahi kuwafanyia nini, sote ni ndg na tunaweza kusaidiana na kutoka kwenye hali ngumu za maisha haya ya dunia
   
 7. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna mwanafunzi aliyejiua baada ya kufeli mtihani wa form four! Kuna mwingine yupo hospitali baada ya ndugu zake kumuwahi! Wanaojiua kutokana na matatizo ni wengi sana!
   
 8. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Inasikitisha sana.JAMANI HII HALI YETU YA UCHUMI HAITAKIWI KUKAA NA VITU KAMA SUMU,KAMBA,MAFUTA NDANI YA NYUMBA KWANI UNAWEZA KUJIUA WAKATI WOWOTE UKATA UNAPOTUBANA Hasa kodi na nk.MKWERE UNANIUDHI SANA MMEMUA MWENZETU KWANI NYIE CHANZO
   
 9. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kilichobaki ni maandamano!
   
 10. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hivi kule Tunisia,maandamano yaliyomng'oa rais,si yalianza baada ya yule machinga graduate kujitia kiberiti? Kwa nini na sisi tusianzie hapa!
   
 11. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #11
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du nyie ndugu ndio mliommaliza jamaa yenu kwa kutomsaidia mpaka akaenda kukopa hela za riba kutoka 700,000/= hadi 1,3000,000/= tarakimu kubwa sana hizi, mngemshauri hata ushauri wa bure Deni haliui ni kesi ya Madai Mahakama ya mwanzo na si RB ya POLISI
  Kwa upande mwingine ni shujaa kama alivyofanya chinga mmoja Mohamed Bouazizi Bofya hapo huyu ni msomi wa Chuo Kikuu huko Tunisia alikosa kazi akawa anauza mitaani, Mgambo wa jiji la Tunis wakamamata na kumnyanganya kila kitu kwa vile alikopa $200 akawa hana njia ya kulipa hivyo akajilipua ndio chanzo cha vita ya kumuondoa Rais wa Tunisia na sasa Mubarak wa Misri
  MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI YUSUF MSEMA
   
 12. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Naamini kama wote tungekuwa na level sawa ya ujasiri wa kuchukua uamuzi huu basi Tanzania wangebaki takribani nusu ya raia waliopo kwa sasa!
   
 13. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,171
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  Acha unafiki, ninyi ndio mmeshindwa kumsaidia hata kimawazo tu hadi akapatwa na msongo wa kuji angamiza. Unatofauti gani na hayo mafisadi?
   
 14. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Angeenda kwa Alishababu wampe ka bom halafu aje kwenye mkutano wa CCM uwanjani wa jamhuri Dodoma wakiwepo mafisadi halafu ajilipue karibu yao afe nao angekuwa amekufa kifo cha faida sana kwa watanzania. Wanaotaka kujiua wajaribu kutusaidi kujitoa mhanga karibu na mafisadi wa CCM, mabom kwa wakimbizi Kigoma yako mengi sana. Tusaidieni kuliko kujiua wenyewe tu.
   
 15. f

  furahi JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kwani hiyo tarakimu ni milioni 1 na laki 3 au ni milioni 13???
   
 16. L

  Leney JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Itakua kakosea kuandika.... i milioni 1 na laki 3,

  Na we Mr.J hapo juu una mambo... unaanza kuirukia serikali wakati kwenye barua lawama zinakwangukia wewe(maana ni ndugu), na David Ligomile(aliyekopesha). Kwanza inaonekana huna hata machungu ya kufiwa wewe...

  ndo maana kuna mithali inasema..."Never abandon a friend--either yours or your father's. When disaster strikes, you won't have to ask your brother for assistance. It's better to go to a neighbor than to a brother who lives far away." Proverbs 27:10
   
Loading...