JK kuhusishwa na Ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kuhusishwa na Ufisadi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr. JayJay, Nov 19, 2010.

 1. M

  Mr. JayJay Member

  #1
  Nov 19, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani,kwa tuhuma zilizotolewa na Dr. Slaa kuwataja mafisadi kumi na moja(11) akiwemo Jakaya,ni ukweli usiopingika kabisa.Nasema hivi kwa sababu kati ya mali alizonazo mtu huyu zinazidi sana tu kwa kipato alichonacho hata kama yeye ni Rais.Kwanza kuna Breaking News tu za umilikaji Hoteli fulani hivi kubwa sana ambayo bado inajengwa karibu na Bagamoyo.(Kwa Hoteli hii sina uthibitisho sana kwa sababu bado nafuatilia).
  Pili,anamiliki hoteli kubwa sana kuliko zote katika Hifadhi ya Taifa Ya Serengeti iitwayo Bilila Lodge Kempinski.Mimi nafanya kazi TANAPA na ninafahamu kila kitu katika hii hoteli.Kwa kuijua zaidi hii Hoteli tafuta kwenye Google "BILILA LODGE KEMPISKI" au fungua website www.kempinski.com/en/serengeti .:painkiller:
   
 2. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu, kwa hiyo DEEP GREEN kwa nini nikuamini?.
   
 3. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Ndg yangu Mr Jay Jay unao uhakika this Luxury Hotel belongs to this Guy Mr President? Na hiyo ya Bagamoyo? Tuma hizo data za uhakika zitunzwe zinaweza kutumika, kwenye kesi za kupambana na wakwapuzi wa mali zetu, wakati ukifika. Kina Tundu Lisu na Mabere Marando watazihitaji sana hizo taarifa. Tunaibiwa mchana mchana eti tusiulize? Wapi na wapi, Watanzania tumekuwa mazezeta? Wanatufirisi hawa. Tunao uchungu na nchi yetu tusizidi kuwa mafukara wengine na familia zao wanakula kuku kwa mlija. Tuamke! THE SHORTEST ANSWER IS DOING!
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Hata mimi ni mdau katika sekta ya madini nafahamu kuwa jeykey anamiliki crusher moja kwenye mojawapo ya quarry zilizopo Lugoba na ndiye aliyechangia kwenye kufilisika kwa iliyokuwa leading quarry in tz ya wanorway called NOREMCO nani hajaamini kwamba ni fisadi?
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Iyo crusher niliishuhudia ikisafilishwa ikitokea........................ na jamaa aliesafirisha alilipwa fadhila kwa kuwa mbunge uko kusini mwa Tz
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwa upuuuzi wa nchi hii na ugawanaji wa mali naamini kabisa jk FISADI!
  nipo kwenye kampuni ya ujenzi na hakuna sehemu zenye rushwa kama huku mpaka aibu, nchi imeoza hiii! BAHATI MBAYA SANA NI VIGUMU KUTHIBITISHA RUSHWA KWENYE UJENZI! but every one knows kuwa ipo wadau waujenzi wanajua!
   
 7. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  u see? Mr. Njowepo mi mzalendo and that was a cone crusher every stone which passes there pesa ni ya jeykey. We know much in dis industry bt who can say? I'm ready to say even ya mwadui bt there must be a next step ahead sipendi kuishia kusema tu.
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,409
  Likes Received: 414,712
  Trophy Points: 280
  Just remember what God says.................................

  Proverbs 13:11 "Wealth gained by dishonesty will be diminished, but he who gathers by labour will increase."
   
Loading...