Elections 2010 JK na CCM hawataki kumhukumu mkapa na Wananchi Tunachukua Hatua Mikononi

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Wananchi Tusome Hii Article Kutoka AP. Tunaona Hawa Makada wa CCM Huku Jamii Forum Wanajitahidi Sana Kutetea Madhambi na Maafa ya CCM Tanzania. Ukweli Kama Tulivyojua Tangu Zamani JK na CCM Wanaendelea Kutumaliza na Kuwatesa Wananchi. Hapa Chini Tunaona Jinsi Gani JK na CCM Wanavyoingilia Maswala ya Mahakama na Justice System Tanzani. Mbinu Wananchi Tulikuwa Tunazijua "Kuwatishia Wananchi Wanaotaka Kusema Ukweli kwa Kutaka Kuwaua" Hii Inadhihirisha Kwanini Hakuna Madhambi Mengi Hayachuliwi Hatua. Wengi Tulikuwa Tunafahamu Haya na Kila Leo Ndivyo Tanzania Inaendeshwa kwa Kutumia Mabavu ya Ofisi ya Raisi. Makada wa CCM Mtueleze Haya Pia Yanatoka Chadema? CCM Wanamtetea Mkapa kwa Wizi wa Mali ya Watanzania na Kwasababu Gani? Hii Inadhihirisha Wazi Kwanini Tulimwoa Mkapa Akimpigia JK Kampeni Kusema Asante kwa Kunipa Uhuru. Hizi Mali za Mkapa na Hawa Mafisadi Wote Tunajua Zimetokana na Wizi Mkubwa Nchini Kwetu. Kila Siku Makada Mtaendelea Kukaa Huku Kwenye Jamii Kutetea Viongozi Wenu Sijua Mnafikiri Mtaweza Kumbadilisha Mawazo Mtanzania Yeyote Hapa, Jibu ni NO WAY! Watanzania Uchaguzi Hawakushinda na Wizi Wanatufanyia Kilichobaki ni Viboko Tu Kuwatoa Maofisini. Kuhusu Huu Uchaguzi Wapo Wananchi Usalama wa Taifa Wanataka Kuja Kusema Ukweli na Wanazuiliwa na Kutishiwa na Makada wa CCM. Tukimaliza Katiba Tutengeneze kwa Manufaa Yetu.

Tanzania's anti-graft chief feared for life: U.S. cable

Tue Dec 21, 2010 6:14pm GMT Print | Single Page [-] Text [+]

* Cable:president Kikwete reluctant to tackle high level graft
* Anti-graft chief says misquoted by U.S. diplomat.

By Fumbuka Ng'wanakilala

DAR ES SALAAM, Dec 21 (Reuters) - Tanzania's anti-corruption chief feared for his life and believed lack of political will was undermining the fight against graft in the country, leaked U.S. cables from its embassy in Dar es Salaam showed on Tuesday. A July 2007 cable published by WikiLeaks showed that Edward Hoseah, director general of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), told the deputy chief of mission at the U.S. Embassy, Purnell Delly, he would seek asylum if death threats against him increased. Hoseah noted "President (Jakaya) Kikwete's reluctance to implicate former President Benjamin Mkapa or members of Mkapa's inner circle in corruption scandals," the cable reported. "Kikwete is soft on Mkapa. He does not want to set a precedent by going after his predecessor." The confidential cable, released on Dec. 19, quoted the anti-graft chief saying Kikwete did not appear comfortable letting the law handle corruption cases that might implicate top level officials. "Finally, Hoseah reiterated deep concern about his personal safety, explaining that he frequently received threatening letters. In the event of increasing threats to his life, Hoseah said he would not hesitate to seek refuge in another country." PCCB has been reluctant to investigate any corruption allegations against top-level government, both past and present. Hoseah said in a statement that the U.S. diplomat had misquoted his statements. "What I told the U.S. diplomat was that President Kikwete does not intend to allow the prosecution of senior government officials or anybody else for that matter based on weak evidence," Hoseah said in a media statement. He confirmed that he had been receiving threating messages, but denied considering seeking refuge outside the country. Hoseah, whose PCCB has been investigating the sale of an air traffic control system by BAE Systems to Tanzania, described the transaction as a "dirty" deal.
He told the U.S. diplomat in 2007 he would be able to prosecute guilty individuals in the BAE case, but has since failed to take the case to court. Donors slashed funding pledges for Tanzania's 2010/11 budget by nearly a quarter of a billion dollars due to concerns about corruption and the slow pace of reforms in the country. [ID:nLDE64D11R] (Editing by George Obulutsa)
 
Lazima tufike mahali sisi wananchi tuamue moja, ama zao ama zetu. That's the only option we're left with.
 
Hivi hawa wapinzani wanafanya nini pale bungeni? wakati umefika tunataka ukweli
 
BULL bunge hhalijaanza ila nazani uliwaona wapinzani especially CDM walivyokuwa wachache bunge lililopita lakini ndiom waliongoza kwa kuchangia na kutoa hoja motomoto! Hata sasa umeona Bunge halijaanza wameshawasha moto..
TIME WILL TELL!
 
Kinachotokea kenya sasa kinatokea tz muda si mrefu. Mafisadi na wanovunja haki za watu hawatakuwa na pango/mahali pa kujificha. Ocambpo wa wakati huo atawamulika ikiwa itashindikana kuwaburuza kwenye mahakama za tz mtapelekwa the hague.
 
Kinachotokea kenya sasa kinatokea tz muda si mrefu. Mafisadi na wanovunja haki za watu hawatakuwa na pango/mahali pa kujificha. Ocambpo wa wakati huo atawamulika ikiwa itashindikana kuwaburuza kwenye mahakama za tz mtapelekwa the hague.

kweli kabisa hili linakuja,tutake tusitake!!
 
Naona njia ya kwenda The Hague 2015 nyeupe kama katiba itakuwa ni ileile na karibu Mheshimiwa sana Ocampo,na hapa hata mahakama zimeoza kwa hiyo njia ni moja tu the Hague, ole ole Mkwere
 
Hivi hawa wapinzani wanafanya nini pale bungeni? wakati umefika tunataka ukweli

Wewe huwa unaangalia bunge au unapewa tarifa, Acha unafiki wako maana kama hujui au unajua upinzani umeweza kufanya nini toka 1995. utakuwa kipofu na kiziwi.
 
Kwa nini Dr. Slaa alipokuwa anafichua haya yote (maana hakuna jipya hapo) wa Tanzania mlikuwa mna mkejeli na kumwita majina mengi,kumkatisha tamaa na kumchafua? Leo Wikileaks wanatoa hayohayo mnataka kuraruana.
Kama toka wakati ule wabunge wa upinzani walipokuwa wameanza kufurumusha kashifa za ufisadi na sisi wananchi wa kawaida tungewapa support kwa hakika hadithi ingekuwa nyingine. Leo tunataka wafanye maajabu kama vile sisi hatuhusiki na ni watazamaji.
Tumeshaibiwa sana na hawa jamaa wanatuona mafala sana
 
tanzania needs another great october revolution like russia ili tuheshimiane. Otherwise hawa watawala watatuwekea vidole mat....ni.
 
JK ampeleke nani Court. mkapa? Mpo tayari kuvumilia presha? Walipelekwa tu akina mramba mkaanza kuchonga na kuna wengine hata humu JF wanalalamika kuhusu kufungwa kwa liyumba halafu sasa hivi mnasemaje? ******* wakubwa nyie. JK kaa kimya au endelea na uvasco da gama wako. Hawa ni wanafiki wakubwa. haijalishi kama mtachukia au kufurahia, lakini ukweli ndo huo. Fully stop.
 
tanzania needs another great october revolution like russia ili tuheshimiane. Otherwise hawa watawala watatuwekea vidole mat....ni.

Nimekubali,kweli sasa tumeona how tunavyofanywa vibaya na viongozi.Kilichobaki wajameni tutafute mabadiliko tu.Tuanze na katiba mpya.
 
Back
Top Bottom