Mambo ya Kikwete haya hapa...

we kiumbe umeingia kwenye chatting room ambayo sio size yako...naona umejaza maneno ya kwenye taarab humu kama ya mama yako sofia simba..

2) Mwenye wivu ajinyonge
 
we kiumbe umeingia kwenye chatting room ambayo sio size yako...naona umejaza maneno ya kwenye taarab humu kama ya mama yako sofia simba..

Huyu Dar es salaam kichwa boga kabisa. wewe kiraza kabisa.
Hadith za abunuasi ndo unampongeza huyo Kikwete.
Hiyo video clip na hadith ya kufikirika tu baba.
hakuna kitu kama hicho.
Usitambe na vitu usivo vijua kaka.
ni ramani ya mji wa Helsink ndiyo iliyo wekwa hapo kaka
Hivyo usidhani Kikwete ana ubavu wa kuifanya Tanzania iwe hivyo
Labda Rais mwingine ajaye.
 
attachment.php

maneno ya kwenye taarabu hayo au wewe kama MBATIA mtoto si riziki ,PUNGA dot com
 
Mh we mzima kweli?

Halafu katika video yako unaonyesha daraja la San Francisco hivi wewe unajua mambo haya au unasikia tu? Barabara za kusini zinawashinda sembuse na hiyo teknlojia ya juu ya underground tunnel? Nakushauri utafute documentary za hizi project duniani halafu then ndo uje na hizo taarabu zako
Nina mashaka sana ya kwamba wewe sio muadilifu
 
Sawa ni kitu kizuri kwa hili Jiji,lakini Je,huyo George Bush aliyelinunua hili jiji yeye atajifaidisha na nini?,asije kuja kufanya mambo yake binafsi yakatuumiza sisi.Sote jamani tufuatilie na kutaka kujua kwa nguvu Bush ana malengo gani na hilo jiji?.
 
Jioneeni wenyewe mambo ya Kikwete: YouTube - Kigamboni - New Dar City Center

1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.

2) Mwenye wivu ajinyonge

3) Kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe.

Jakaya, hiyo concept tuu, inatosha. Tutakukumbuka kwa mema yako mengi unayotufanyia waTanzania na Tanzania jina lako litatajika Daima. Nna suggest hilo jiji jipya liitwe Jakaya City.

Mungu anawajalia watu hata ukilaza
 
Kumuunga mkono kikwete na chama chake ni sawa na kuwa mfu ukiwa hai. Unga mkono Slaa udhihilishe utimamu wa kichwa wako.
 
Back
Top Bottom