Recent content by mr hussein

  1. mr hussein

    Ziko wapi ajira 70,000 za kairuki?

    Nimekubali, nimetii nipe bas hayo mema ya nchi
  2. mr hussein

    Prof Ndalichako nae ajihadhari na kauli zake

    Baada ya kutumbuliwa kwa Mramba waziri mwenye matamko yanayoathiri wananchi wanyonge anafuata Ndalichako.....yeye anajua fika watoto wa masikini wengi ndo waliosoma masomo ya sanaa kwa kusoma shule za kata zisizo na walimu wa sayansi, maabara na kukosa hela za masomo ya ziada haohao Leo anatamka...
  3. mr hussein

    Ziko wapi ajira 70,000 za kairuki?

    Kama umejibu vilee
  4. mr hussein

    Ziko wapi ajira 70,000 za kairuki?

    Hizo Kilichowafanya waseme nani si wangejikaliaga kimya tu! Hizo za makada wa chama
  5. mr hussein

    Ziko wapi ajira 70,000 za kairuki?

    Kilichowafanya waseme nani si wangejikaliaga kimya tu!
  6. mr hussein

    Ziko wapi ajira 70,000 za kairuki?

    Rekodi nw zinavunjwa kimyakimya ahhahahahahhaha
  7. mr hussein

    Ziko wapi ajira 70,000 za kairuki?

    Sio kwa kuachana njia panda huku ajira hizi zilimwagwa kwenye gazeti la habari Leo zikaanikwa gazeti la nipashe waziri akijinafsibisha kwenye kipindi cha dakika 45(ITV) na kusema muda wowote kuanzia muda hule(huku mtangazaji akikazia muda wowote!??) Akrudia tena muda wowote. Mwaka sasa...
  8. mr hussein

    Mtanzania mwenzangu, hapa umeelewa nini kuhusu Mahakama?

    We ushangai waliotumbuliwa kwa ufisadi ni wengi mno, xna mamlaka ya kuwataja lakin et mahakama haina wateja......Mimi Domo wazi kumbe wale wote hawana hatia.!!!!!!?
  9. mr hussein

    Mtikisiko wa uchumi wapamba moto, hali mbaya kwa wafanyabishara wengi wafunga maduka

    Jamani hii nchi VIP tena,! mbona kila mahala serikali inalaumiwa tu yani waliloweza ina maana ni elimu bure tu.....
  10. mr hussein

    Ujumbe: Hakuna aijuaye Kesho...!

    Kwel bhna ni suala LA mda tu
  11. mr hussein

    Mheshimiwa Rais, je umetusahau watumishi wa umma?

    Ina muhusu nani ajira zenyewe hajatoa
  12. mr hussein

    Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Waachana na kiki za Rais kubwa wao wajitenge na siasa kama ITV kwa maana unajihusisha na siasa kuna watu una watenga pia
Back
Top Bottom