Prof Ndalichako nae ajihadhari na kauli zake

mr hussein

Member
Nov 1, 2016
54
37
Baada ya kutumbuliwa kwa Mramba waziri mwenye matamko yanayoathiri wananchi wanyonge anafuata Ndalichako.....yeye anajua fika watoto wa masikini wengi ndo waliosoma masomo ya sanaa kwa kusoma shule za kata zisizo na walimu wa sayansi, maabara na kukosa hela za masomo ya ziada haohao Leo anatamka hawataajirika.....!!!!!!! Mpeni salaamu
Huyu jamaa hanaga uclassmate!
 
Teh teh.....ndoto njema!!!
kama hakuna nafasi za kuwaweka hao waalimu, alitakiwa aseme nini!!!!?
 
huyu mama ni mpu.mbavu sana. kakaa akifanya ujinga wake wa wa majoho, muda ambao wanatakiwa kutoa majina ya walimu waliopangiwa vituo vya kazi, yeye ndio anaenda kwa bosi wake kuomba mawazo ya jinsi gani waendelee kuzuia ajira. bosi wake mwenye roho mbaya akamwambia itisha uhakiki wa uongo. hivi kwanini huo uhakiki wao wa uongo hawakuit6isha mapema? huyu mama ni mpuuzi zaidi ya yule aliyekua kila siku anasema kua uhakiki haujaisha, kumbe umeisha ila kwa roho yake mbaya akawa anaficha
 
Tatizo ndali yupo pamoja na mkuu wa kaya,roho mbaya zaidi ya mkaanga sumu,et kuna member wengine wanafurahia hayo matamko,ndugu usifurahi mwenzio anapoanguka muombee nawe upate mafanikii,mnakalia kucfia serikali ili hali mtoto au ndugu yko ni mhitimu wa ualimu au afya au kada yoyote na ajapata ajira,eti serikali ya awamu ya 5 ipo vizuri imekusaidia nini kwa mfano nawe ni fukara tu,mnanisinya mnaoshobokea hii ya system ya system teua tengua,jiangalieni kwanza bhana mnaboa
 
Pongez kwako mkuu. Unajua psychologically mtu kama hajawah kuumizwa na mapenz tangu abarehe nasahv anamiaka 40 huyo hawez kukupa pole ukimpelekea maumivu yako atakucheka sn
 
Back
Top Bottom