Mtikisiko wa uchumi wapamba moto, hali mbaya kwa wafanyabishara wengi wafunga maduka

Mbona Maduka mengi bado yanaendelea kufanya kazi? Kwani zamani watu hawakuwa wakifunga Maduka, hawakuwa wakifunga na kurudisha fremu? Kufunga kumeanza leo?

Nalima waje tulime biashara nilifunga enzi za kikwete kariakoo kwahiyo sioni tofauti yoyote ya utawala zaidi kilimo changu kinanifurahisha kwa maendeleo kuliko wakati nafanya kariakoo kila siku nilikuwa nagombana na tra mikopo ya mabank na kodi ya pango. Sasa hivi naamua mazao niyauzie shamba au niyapeleke sokoni mwenyewe. Kiufupi waachane na ghost economy ya huko waje huku shamba tulime.

Acha uzandiki toka enzi za mababu zetu maduka yalikuwa yanafungwa.....hata Marekani maduka yanafungwa

Kufunga maduka ni kawaida hata mtaani kwetu wamefunga. Lakini mmesoma idadi ya maduka mangapi yamefungwa ? Kama wewe ulifunga duka na ukawa peke yako hilo siyo tatizo ila kama wilaya ya ilala tu yamefungwa maduka 1024 hapo lazima muone kuna tatizo. Kilimo sawa ni njia nzuri ila je hali ya mvua mmeiona ? Na si kila mkulima anao uwezo wa kufanya kilimo cha umwagiliaji
 
Mbona unaongelea hali ya mvua kwani ukame umeletwa na serikali? Kuhusu maduka kufungwa na biashara zingine kila siku zinafungwa tokea tawala zilizopita na kwa idadi na kiwango kinachofanana na sasa tofauti ni kwamba sasa zinatafutwa propaganda za kumkatisha tamaa rais kuliko wakati wowote uliopita yaani upinzani wa awamu hii umejipanga kwenye kutafuta data za kawaida na kuzigeuza kuwa critic wanaedit hadi picha mbali mbali kukidhi mahitaji ya propaganda zao kwa mfano mtu aliedit picha ya pangaboi imeanguka akaandika NDEGE YA MAGUFULI YAANGUKA HATA KABLA HAIJAZINDULIWA KWA SAB NI MBOVU hebu jiulize huu ni upinzani gani wa kijinga hata mtu kama hapendi ununuzi wa ndege lkn kwanini unaiombea ianguke? Ikianguka kwa vyovyote itaua baadhi ya watanzania lkn mtu huyu hajali hata kama watakufa watanzania milion ili mradi vita yake na magufuli ifanikiwe. Kwahiyo hizo data zilikuwepo enzi na enzi bali ziliachwa hazikutangazwa au kupewa uzito wa leo kwa sab ya aina ya upinzani wa leo tofauti na wa jana wapinzani wa leo wanatamani kuedit ikulu inaungua wanatamani kuedit msafara wa mkuu umepata ajali waridhishe nafsi zao na waliowatuma kuna mwingine katishia kumuua mkuu kwa kusingizia maono anapata anachostahili huko kisongo. Upinzani umekosa hoja sasa wanakimbilia kwenye takwimu za kawaida na kuziwekea uzito.
 
Wengine humu wanapayuka na wapo wapo tu duniani. Hawana cha kupata. Ni mahasidi kama walivyo alieanza na hii nchi aliwafilisi matajiri wote na watu wakamsherehekea sana nchi ikamshinda akan'gatuka kwa aibu. Tulienae ni wa mitaa hiyohiyo alikotokea wa kwanza. Tunakoelekea sipo.
 
Mbona Maduka mengi bado yanaendelea kufanya kazi? Kwani zamani watu hawakuwa wakifunga Maduka, hawakuwa wakifunga na kurudisha fremu? Kufunga kumeanza leo?
Wakwepa kodi ndio wanaofunga maduka ili wafanyabiashara halali na walipa kodi waendelea kuchapa kazi
 
Wengine humu wanapayuka na wapo wapo tu duniani. Hawana cha kupata. Ni mahasidi kama walivyo alieanza na hii nchi aliwafilisi matajiri wote na watu wakamsherehekea sana nchi ikamshinda akan'gatuka kwa aibu. Tulienae ni wa mitaa hiyohiyo alikotokea wa kwanza. Tunakoelekea sipo.
Kama kuna ukweli
 
Watu wanafanya haya kwa sababu vinaachwa vitu vya maana na kufuatiliwa vitu visivyo na faida za moja kwa moja kwa wananchi watu hawana maji yy ananunua ndege? Inabidi wamkatishe tamaa ili aachane na mipango hiyo aangalie mengine
 
Acha utabiri usiokuwa na leseni
 
Mbona Maduka mengi bado yanaendelea kufanya kazi? Kwani zamani watu hawakuwa wakifunga Maduka, hawakuwa wakifunga na kurudisha fremu? Kufunga kumeanza leo?
Mtu utamuona kurudisha fremu ya simu anaenda kwenye Madera jee Sasa ndio ivo ivo au kashindwa kabisa
 
Kwa hiyo mlitaka mtu kama amechoka kufanya biashara asifunge duka lake?

Nyumba yako tu unafunga sembuse Duka?

Kwa nini "A" afunge halafu "B" asifunge? hujajiuliza hilo swali?

Kwani Wale Wafanyabiashara waliokuwa wanaingiziwa mizigo kutoka Bandarini kiujanjaujanja na HOME Shopping Centre hapo kariakoo na kwingineko hapo Dar. Wamisha-settle? lazima wafunge maduka tu, hakuna namna kwa sasa, ukizoea ujanja lazima upepo ukivuma tu kidogo uanguke
 
Ubunifu na kujiongeza ni muhimu sana kwa kipindi hiki. Otherwise maisha yanaenda tu, fanya biashara unayojua ni basic lazima watafute, ila ukifanya ambazo ni nyongeza tu hata wale wapiga pesa za ziada kununua jua hawana pesa, mwisho utafunga tu.
 
Hujui chochote kinachoendelea kwenye mzunguko wa pesa pamoja na biashara kwa sasa…… kukaa kimya ni busara tosha kama hujui jambo!
Jamani hii nchi VIP tena,! mbona kila mahala serikali inalaumiwa tu yani waliloweza ina maana ni elimu bure tu.....
 
Watu wanafanya haya kwa sababu vinaachwa vitu vya maana na kufuatiliwa vitu visivyo na faida za moja kwa moja kwa wananchi watu hawana maji yy ananunua ndege? Inabidi wamkatishe tamaa ili aachane na mipango hiyo aangalie mengine
Hiyo sio sab kukosa hoja ya msingi na ujinga ndio sab. Ndege imenunuliwa kwa fedha zetu hata kama hatuipendi lkn tayari imeshanunuliwa kwa pesa zetu lazima tuilinde sio tuiombee mabaya no matter what halafu walionunua na wengine wanaamini ununuzi wake ni sahihi ili kukuza utalii ambao kwa sasa unaongoza kwa kuchangia pato la taifa ukue zaidi na kuipa uwezo serikali kutoa huduma bora zaidi. Hata hivyo tumekuwa hatuna ndege zetu mpya kwa muda mrefu je huduma za maji na zingine zinazolalamikiwa sasa zilikuwa imara? Upinzani huu ni wa ununuzi wa ndege ni baseless kwa sab huduma za maji ni mbovu tokea utawala wa awamu ya kwanza iweje leo ndege zionekane zimesababisha huduma hizi kutokuwepo au kusuasua? Hapa huoni kuna picha ya kutafuta sehemu ya kushikia ili ipatikane hoja ya kupinga kwa sab furaha ya upande wa pili ni lowassa kuwa rais na si vinginevyo? Upinzani wa sasa si upinzani wa kawaida duniani huu ni UGAIDI.
 
Nilikuwa Songea juzi wafanya biashara wanahaha kutafuta fremu za kufungua biashara mpya na hapa Mtwara pekee kuna biashara zaidi ya 210 mpya zimefunguliwa ndani ya miezi sita iliyopita, nafikiri biashara zinazofungwa Dar ni matokeo ya kuzibwa mianya yote ya kupatikana pesa chafu. Safi sana Magufuli.
 
Hiyo sio sab kukosa hoja ya msingi na ujinga ndio sab. Ndege imenunuliwa kwa fedha zetu hata kama hatuipendi lkn tayari imeshanunuliwa kwa pesa zetu lazima tuilinde sio tuiombee mabaya no matter what halafu walionunua na wengine wanaamini ununuzi wake ni sahihi ili kukuza utalii ambao kwa sasa unaongoza kwa kuchangia pato la taifa ukue zaidi na kuipa uwezo serikali kutoa huduma bora zaidi. Hata hivyo tumekuwa hatuna ndege zetu mpya kwa muda mrefu je huduma za maji na zingine zinazolalamikiwa sasa zilikuwa imara? Upinzani huu ni wa ununuzi wa ndege ni baseless kwa sab huduma za maji ni mbovu tokea utawala wa awamu ya kwanza iweje leo ndege zionekane zimesababisha huduma hizi kutokuwepo au kusuasua? Hapa huoni kuna picha ya kutafuta sehemu ya kushikia ili ipatikane hoja ya kupinga kwa sab furaha ya upande wa pili ni lowassa kuwa rais na si vinginevyo? Upinzani wa sasa si upinzani wa kawaida duniani huu ni UGAIDI.
Sawa nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom