Recent content by mr green

  1. M

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    I liked
  2. M

    Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Hivi Hivi changamoto ya wizi wa mbuzi mnakabiliana nayo vipi? Hasa wamasai na mang'ati kwa mashamba ambayo yako nje ya mji?
  3. M

    Mke wangu ni HIV +, ni mjamzito na anakaribia kujifungua naomba ushauri ili nimnusuru mtoto huyo

    Kaka pole sana kwa taharuki uliyopata. Hiyo case hata mimi nilipata baada ya kuishi na mwanamke kwa takribani mwaka moja, siku moja kwenye movements za kutoka out tukakutana na kituo cha kupima ukimwi, nasi tukakata shauri tupime maana toka tumeanza kuishi hatujawahi kupima. Sasa baada ya...
  4. M

    Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

    take note. mke hasomeshwi, mabadiliko hayo uliyoyaona ni dalili za mabadiliko makubwa zaidi mbeleni hata kufikia kuachana ikitokea kafanikiwa kufaulu na hatimaye kufika chuo na kupata kazi. kama kaweza kuona kuwa alifanya makosa kwenye kubadili dini just kwa kurisiti form four tegemea baada ya...
  5. M

    I am loosing it

    esc343 Ushauri wangu ni 1. Accept the losses on ur mind. 2. Try to avoid judges or analysis on losses u got. 3. Let the past go and live the present. Kama utapenda ni PM ntakupa kitabu kitakacho kusaidia.
  6. M

    Nahitaji pickup single cabin ya kukodi

    Nipo dar es salaam.
  7. M

    Nahitaji pickup single cabin ya kukodi

    Naitaji pickup single cabin ya mojawapo kati ya hizi zifuatazo 1. Nissan hardbody, 2. Toyota hilux 3. Toyota Landcruiser Sifa. - iwe kwenye hali nzuri - iwe na four wheels drive(4wd) Ofa. - bei itakuwa kuanzia tsh 1,500,000/= mpaka tsh 2,500,000/= kwa mwezi. - bei hiyo hapo juu itategemea...
  8. M

    kuishi kwa fumbo huenda kukakusababishia matokeo fulani!

    Hapo nimekuelewa, hata me hilo jambo limekuwa likinifikirisha kwa mda sasa.
  9. M

    Weekly Trading Forecasts for Major Pairs (May 8 - 12, 2017)

    Mkuu una experience yoyote kuhusu biashara hii,natafuta Mentor wa kunisadia maaana ndo najifunza mwenyewe kupitia youtube.
  10. M

    Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

    Mkuu Eiyer ningependa kujua hasa ya watu weusi kutokuhusishwa na hawa majamaa ukilink na Yesu kuwa mweusi
  11. M

    Haipiti wiki naota napiga pepa la form 4

    Exams To dream of taking an exam represents a very challenging situation in your life that may require your complete focus or dedication. A challenge that may foster powerful uncertainties, require a lot of preparation, or put a lot at stake. An exam dream may stand as a barometer of pressure...
  12. M

    Kuota unaokota hela tena coins ina maana gani?

    Jaribu kutafakari haya huku ukimshirikisha Roho Mtakatifu. Coins To dream of finding coins represents positive feelings about gains being made in waking life. Feeling good having more than you did before. Insight into problems, increased power, or freedom gained. It may also reflect feelings...
  13. M

    Haipiti wiki naota napiga pepa la form 4

    Kama utapata mda ingia youtube kuanzia saa kumi jioni Mwl Christopher Mwakasege anasemina na anaelezea kuhusu ndoto. Hope unaweza kupata ufafanuzi utakao kutoa hapo.
Back
Top Bottom