I am loosing it

esc343

JF-Expert Member
Apr 17, 2014
354
580
Nimekuwa mwanachama wa JF kwa muda wa miaka 4 sasa. I come to you members today kwa ajili ya ushauri wa hili jambo ambalo ni changa lakini naona litakuja kuharibu maisha yangu huko mbeleni.

Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 25-30. Nina elimu nzuri sana na basically am having my dream job. Nina mchumba wangu ambae in future if all goes well nina mpango wa kumuoa.

Where did it all start?
Mwaka jana mwezi wa nne hivi, nilifungua account kwenye mmoja ya kampuni kubwa za kubet. Sijui nini kilinisukuma lakini I just to wanted try. I had never bet before so i just wanted to see how it is. Nakumbuka niliweka kama 10$ hivi na amini usiamini, I won 100$ on my first bet. Kipindi hiko nilikuwa bado nipo shule so I had limited money to splash.

Having won on my first bet, nikajisemea kwamba ni bahati so i tried again and I won 100$. Nikawa natumia hizo hela for my personal needs. Mind you mimi sio mnywaji wa pombe au mtu wa starehe sana.

Kumbe that was an invitation to one of the biggest regrets I have today. Nilimaliza shule and I managed to get a job. Sasa I was paid weekly and here is where the problems started. Kusema ukweli if I could have stopped from there basi maisha yangekuwa mazuri sana. Nilipoteza Laptop yangu ( niliisahau kwenye train) hapo ndio addiction ikaanza.

The loss of my laptop ikanifanya nicheze kamali ili ni win money and replace it, the intentions were clean. Only the approach was stupid. Before nilikuwa na bet on football and basketball games, ila this time nikaanza kwenye online casinos. Kuanzia wheel machines mpaka blackjack.

I started loosing money, sasa nikaanza chase my losses badala sasa ya hela ya laptop. Well naweza sema niliweza control my arges kwenye first few months maana niliweza cover bills and rent. Ila as days went on, nikawa nashinda hela kubwa and then I loose big. The climax ilikuwa Christmas mwaka jana ambapo kwa usiku mmoja, nilipoteza 2500$ kwa gambling

I felt so bad, sikuwahi kuelewa why people wanaweza kufikiria kujiua ila believe that crossed my mind. I felt so stupid, nililia sana that night. I had this perfect life ila all over a sudden niko kwenye hii crisis. At this point I had to tell my GF ambae naishi nae maana I had exhausted my account and rent was due. She felt so bad and shocked, mimi ni msiri but I had to come clean. Niligundua kwamba hii gambling ilinifanye ni spend time more on playing that having a moment with her. Mind you SIJAWAHI KUINGIA CASINO, all of this was done online.

At this point I started going online na kutafuta ushauri, kama mnavyojua nchi za wenzetu. Ila I just read forums online na sijawahi attend gambling meetings. I just felt it wasn’t right for me. At this moment, my GF alikuwa ana control my finances. Yaani hela ikiingia every week yeye anahamisha kwake. I was basically a kid, yaani nikitaka hata hela ya vocha inabidi niombe.

The problem now....
Nina biashara zangu TZ and zinaniingizia kipato ambacho yeye anajua ila hajui kama i can access the funds from here. Yaani nina card yenye VISA ambayo jinsi shetani anavyoniteka, inakubali online payment. Niliweza kukaa week 3 bila kucheza kamali na hali yangu ilirudi kuwa okay. Siku hio nikajaribu kama masihara kuhamisha hela kutoka kwenye ile account ya TZ kwenda kubet ikakubali. Kama kawaida nikacheza nikawa nimeshinda kama 200$, Ilitakiwa niitoe ile hela, ila nilikuwa nafukuzia 2500$ na zingine nilizopoteza. Ile hela ikaliwa na nikapoteza kama 800$ hio weekend.

Nimesoma habari nyingi sana za wazungu waliopoteza muelekeo wa maisha because of this, I want to stop believe me. Ila hii addiction ni the worst. Kila nikiwaza hela nilizopoteza napata urge ya kucheza tena maybe nitashinda ila ndio naendelea kupoteza. Mpenzi wangu nampenda sana, ni mwanamke ambae anachapa kazi and so faithful. I feel like I don’t deserve her, and when she finds out kama nimepoteza tena hela ataumia sana. She might as well leave me.

Naombeni ushauri nifanyaje?

Angalizo:
Kama una mpenzi wako ambae anafanya haya mambo, naomba ujitahidi kumkanya mapema before mambo hayafika pabaya kama mimi. TZ sikuhizi kamali imeshamiri sana.
 
Pole mkuu.

Mm nilikuwa na tatizo kama lako tena nilianza kubet mpira mwaka 2009 enzi hizo huku mtaani hamna hizi kampuni za kubet locally unaenda pale new africa hotel unabet kupitia ladbrokes kiwango cha chini ilikuwa $20 mpk miaka ya karibuni zimekuja kampuni hizi za kawaida nmeendelea kubet mpk online.

Miaka miwili iliyopita nkaanza kuingia casino kbs kila ijumaa nahalikisha nina laki 1 naenda kucheza kamari kwny zile slots machine za casino.

Hizi baadhi tu ya kadi nilizokuwa naweka hela zangu casino tofauti hapa dar

694d9b2f99cf6f67fac93d8df97ff2db.jpg

Kwa sasa nina wiki mbili nmeamua kuacha haya mambo nmeshapoteza hela nyingi hata siwezi kuelezea

Naomba Mungu anisaidie.
 
Hongera kaka.
How did you manage to stop?
 
Addiction ya gambling ni mbaya na kama ilivyo kitu kingine kuacha inahitaji dhamira ya kweli kutoka ndani yako. Cha muhimu jiweke bize usipate huo muda wa kupoteza kwenye makasino.
Mi naona majamaa wanavyopoteza muda kufuatilia predictions online ili wabet, nasikitika sana.

Kingine jiwekee philosophy ya kuwa hakuna short cut ya kupata pesa kirahisi lazima uwe na economic activity inayozalisha ili upate pesa. Ukilijua hilo hizi scams za betting, forex hazitakusumbua.

All the best kwenye kukata shauri.
 
Cheers, Thanks for the advice
 
esc343

Ushauri wangu ni

1. Accept the losses on ur mind.

2. Try to avoid judges or analysis on losses u got.

3. Let the past go and live the present.

Kama utapenda ni PM ntakupa kitabu kitakacho kusaidia.

Will do so
Asante
 
Pole mkuu.

Mm nilikuwa na tatizo kama lako tena nilianza kubet mpira mwaka 2009 enzi hizo huku mtaani hamna hizi kampuni za kubet locally unaenda pale new africa hotel unabet kupitia ladbrokes kiwango cha chini ilikuwa $20 mpk miaka ya karibuni zimekuja kampuni hizi za kawaida nmeendelea kubet mpk online.

Miaka miwili iliyopita nkaanza kuingia casino kbs kila ijumaa nahalikisha nina laki 1 naenda kucheza kamari kwny zile slots machine za casino.

Hizi baadhi tu ya kadi nilizokuwa naweka hela zangu casino tofauti hapa dar

694d9b2f99cf6f67fac93d8df97ff2db.jpg

Kwa sasa nina wiki mbili nmeamua kuacha haya mambo nmeshapoteza hela nyingi hata siwezi kuelezea

Naomba Mungu anisaidie.
Duh! Pole sana na imagine hzo hela ungekuwa umejenga hekalu kwa sasa
 
Sidhani kama nitakuja kuacha kubet.

Pombe situmii sigara situmii mambo ya anasa hapana ulevi wangu ni kubet sina mpango wa kuacha mkuu. This is business hii ni mipango tu na kuwa na kiasi na malengo.

Sina mpango wa kuacha betting
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom