hilo ni fumboUna maana gan kwenye hilo
nina maana hiiUna maana gan kwenye hilo
Hapo nimekuelewa, hata me hilo jambo limekuwa likinifikirisha kwa mda sasa.nina maana hii
kutokana na kuishi kwa kutumia kondom,kutumia huko kondom ndio matokeo ya kukosa dawa ya ukimwi au kutokujua kuwa unaefanyanae mapenzi ni mgonjwa au lah! hivyo unaamua kutumia kondom kwasababu kwako ni fumbo yani hujui!
hii pia hata ukijichunguza vizuri unakuta kuna matendo ambayo unayatenda au kuna namna unaishi lkn kumbe hiyo namna unavyotenda au kuishi ni kutokana na fumbo fulani ambalo either unalitambua ila umeshindwa kulitatua ama hulitambui kbs.
So kwahiyo matokeo yanayotokea sasa hapa duniani(namna ambavyo tunaishi vita,umaskini,utajili,wema,ubaya,dini,siasa n.k) huenda hayo yakawa ni matokeo ya fumbo tusilolijua!.
we are not living of what we want,but what we are afraid of.nina maana hii
kutokana na kuishi kwa kutumia kondom,kutumia huko kondom ndio matokeo ya kukosa dawa ya ukimwi au kutokujua kuwa unaefanyanae mapenzi ni mgonjwa au lah! hivyo unaamua kutumia kondom kwasababu kwako ni fumbo yani hujui!
hii pia hata ukijichunguza vizuri unakuta kuna matendo ambayo unayatenda au kuna namna unaishi lkn kumbe hiyo namna unavyotenda au kuishi ni kutokana na fumbo fulani ambalo either unalitambua ila umeshindwa kulitatua ama hulitambui kbs.
So kwahiyo matokeo yanayotokea sasa hapa duniani(namna ambavyo tunaishi vita,umaskini,utajili,wema,ubaya,dini,siasa n.k) huenda hayo yakawa ni matokeo ya fumbo tusilolijua!.
Uko vizuri mkuunina maana hii

dogmaFumbo Kuu La Imani:
Kristu alikufa
Kristu alifufuka
Kristu atarudi tena
Hili ni fumbo au ukweli!?Fumbo Kuu La Imani:
Kristu alikufa
Kristu alifufuka
Kristu atarudi tena
Sina hakika,but mtu anaweza akajichunguza kwa kitu anafany atafahamu anaish kw upande upi hapo.kwa mustakabari huo kwahiyo watu wanaoamini ktk mungu.. wanaishi kwa kumuabudu mungu kwasababu wanamuogopa shetani..?
Navichukia hivi vidude basi tu