Recent content by Mr Geniuz Km

  1. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Mnazungumziaje gharama za ushuru wa forodha (import duty)

    Kiasi cha kodi Kinacholipwa serikalini kwa kuingiza bidhaa Hapa nchini Tanzania . Licha ya kuwa Kiwango hutegemea aina ya bidhaa, na huwekwa kwa asilimia ya thamani Lakini Bado naona ni viwango vya juu sana ukilinganisha na uhalisia Mfano : Ukiagiza Gari , Friji , Washing Machine...
  2. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Vipi, mtaani kwako muamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

    Hali ya vyama vya siasa zikoje katika maeneo yenu katika uchaguzi huu mdogo wa Serikali za mitaa , na je , Muamko wa wananchi ni wakiwango gani?
  3. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Ni uzi mzuri
  4. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Dereva nipo Tuwasiliane wamiliki wa Magari

    Wamiliki wa Magari ya Mizigo Dereva nipo Tuwasiliane Mnipe kazi . Bidii | Juhudi | Umahiri ndo falsafa yangu 0686065052
  5. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Wakili aliyebobea katika maswala ya Ardhi au Mirathi msaada tafadhali

    Husika na somo tajwa, Wakili aliebobea katika sheria za ardhi na mirathi , tuwasiliane Tafadhali
  6. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Je, oil ya petrol italinda kenchi zangu?

    Ni amekosea tu kueleza / kuandika Ilibidi aandike Oil ya Engine zinazotumia Petrol
  7. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuunganishiwa umeme ukiwa mita 30-120 toka nguzo ilipo ni kiasi gani?

    Gharama halisi za kuunganishiwa umeme zilizoidhinishwa na mdhibiti (EWURA): Mijini ni Gharama za kuunganisha umeme mjini ndani ya mita 30 kwa mteja wa njia moja (single phase) kutoka kwenye miundombinu ya umeme ni shilingi 320,960/= Mteja wa njia moja (single phase) ndani ya mita 70 kutoka...
  8. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Chumba kinahitajika

    Chumba kinahitajika Dodoma mjini Bei ianzie Elfu ishirini kwa Mwezi ( 20,000 ) Mwenye nacho ?
  9. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop

    Mkuu alichouliza ni swali rahisi tu ' wala si kwamba halijibiki . Ni vile sikuwa active tu. ~nilitoa maelezo mafupi ili muhitaji haswa akiuliza swali nimdadavulie kwa maelezo binafsi , lengo ikiwa ni kuto toa ufafanuzi kwa asie na uhitaji thabiti ...
  10. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop

    Mkuu pia mi ni Computer science Eng . ~hapo ni kwamba sikutoa maelezo kwa upana zaidi ni inbox mawasiliano yako ni dadavue kiundani zaidi mkuu ikiwa unaihitaji haswa.
  11. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva na fundi wa magari, natafuta kazi

    Sawa mkuu Shukrani kwa taarifa ' ntafanya ivo
  12. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop

    ~Husika na Somo tajwa Aina: DELL Model: 630 RAM: 3GB HDD: 80GB Display: 13inch USB PORT: 4 HDMI: 1 VGA: 1 JACK: 3.5mm Wireless: yes Na sifa nyinginezo kibao ' ~Price 250k ( 250,000 ) NB: Inafaa kwa matumizi yote ' ipo katika hali nzuri as New Na haina tatizo lolote Mawasiliano...
  13. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva na fundi wa magari, natafuta kazi

    Mimi ni Dereva , mwenye leseni pia ni Mtaalam wa Matatizo ya Gari. Yeyote mwenye uhitaji wa Dereva wa Gari yake nipo Tayari kufanya nae kazi . Nna uzoefu wa miaka 8 wa udereva na uzoefu wa miaka 6 wa Matengenezo ya Magari . Taaluma zote mbili za Udereva na matengenezo ya Magari nimesoma...
  14. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda Electronics design na electronics kwa ujumla

    Nimeipenda hii Hongera Bro
  15. Mr Geniuz Km

    JamiiForums Tanzania Jifunze electronics design popote ulipo kwa kiswahili

    Sawa
Back
Top Bottom