Dereva nipo Tuwasiliane wamiliki wa Magari

Sasa hizo connection si ndiyo hizi anafanya? Hapa jukwaani pia ni connection na huu ndiyo mwanzo wa kupata kazi Acha tuendelee kumpa moyo zaidi kuliko kumkatisha tamaa
Somkatishi tamaa nampa fact niliitwa kwenye test kampuni moja inayojenga reli candidates jumla tulikua 25 katika hao 20 tulipiga gia fresh matokea wakapatikana masuka 6 tu wengine wote chali kuuliza naambiwa Connection
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom