For JamiiForums Mobile users

Thanks MKUU!
Kama unataka Maandishi makubwa

[ size="15"]Thanks MKUU![/size]

Usiruke nafasi kama mimi. Halafu hiyo 15 unaweza kuweka number nyingine kutegemea unataka size gani

[size=''15''] Roger Dat [/size]
 
Nime boresha kidogo hiipost

  • bold ni hivi [b]text[/b]
  • underline ni hivi [u]text[/u]
  • rangi
    ni hivi [color=blue]text[/color]
  • Link ni hivi [url=http://ilovetz.com.com]hapa[/url]
  • kukata neno... Hi naona inazingua JF
    ila nayo ni [s]text[/s]
  • kulist vitu ni
    [list]
    [*]item1
    [*]item2
    [/list]
    ambayo itaonekana hivi
    • item1
    • item2
Waweza ongeza code zaidi

  • chai maandazi sukari Uji
 
Back
Top Bottom