Recent content by Mr Finest

  1. M

    Ushauri wa Baba unanikosesha usingizi

    Pole na hongera Pole maana yake babako kuna mahali anakuona Kama mfanyabiashara mkubwa Na hongera kwa maana umefanikiwa kumiliki biashara mjini Ila samahani sana kwa kuingilia thread yako umeona threat yangu ya " Nahitaji mkopo wa milioni 2 nifanye biashara ya bajaji narudisha mkopo ndani...
  2. M

    Nimpe kiasi gani kama shukrani?

    Kaka habari yako. Mimi hapa nina hitaji mkopo wa milioni 2 unalipwa kwa miezi 4-6 , hii itanifanikisha dili la maisha yangu na pia kuna zawadi atayefanikisha Hilo. Mimi ni mkazi wa mbezi , na muhitimu wa Diploma ya finance ifm . Naomba ushirikiano wenu ndugu na kamaa
  3. M

    Sipati ajira, sioni faida ya elimu yangu, naona bora kuuza vyeti

    Kaka Mambo vp ? Pole sana kwa unayopitia Njoo inbox tuone Kama tunaweza kufanya kitu
  4. M

    Wasomi wa karne hii ni vilaza, wanabebwa na vyeti vya chabo kuliko taaluma halisia

    Uliwaelekeza wakatoka na ujuzi uluonao kwenye Ms word na Excel Au ndo na ww uliwaacha wapambana na hali zao Habarini wana JF, Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani. Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania. Vijana ni warembo na...
  5. M

    Zao la mchikichi, dhahabu mpya shambani, mbegu ya kisasa na mazao mengi zaidi

    Kuna baadhi ya maeneo kigoma unayapata kwa 100k au chini ya hapo [ Mashamba Poli ] Ardhi ya kigoma ni ardhi nzuri na yenye rutuba zakutosha. Pia utaweza ardhi Hiyo ya kigomainakubali mazao mengi ikiwemo kwa kutaja machache Mahindi, maharagwe, viazi na mengine mengi.
  6. M

    Zao la mchikichi, dhahabu mpya shambani, mbegu ya kisasa na mazao mengi zaidi

    Kwa kiasi kikubwa soko letu la ndani limeadhiliwa na masoko ya nje , ambapo wa Tz wengi wametengeneza mazoea ya kuazigiza na kuzidhamini bidhaa za nje not only kwa mchikichi , ni hata kwa mazao mengine pia Nini kifanyike [ To stabilize internal market ] Kwanza Kama waTz tudhamini na kutumia...
  7. M

    Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

    Kwa kazi halizofanya huyu BABA JPM hakika Mungu ametubariki Ila Hilo sio MUHIMU Sana maana tunauhakika wa kuwa na watu Kama yeye kwa hili Taifa The likes of Majariwa He deserves more anyway Note : Ww unajua kunauwezekano maana taifa linahitaji Hilo litokee Tunahitaji mtu Kama JPM
  8. M

    Zao la mchikichi, dhahabu mpya shambani, mbegu ya kisasa na mazao mengi zaidi

    Zao hili mbegu za kisasa kabisa zinapatikana maeneo mengi na sio kigoma tu . Kwenye ofisi za TARI za kila mkoa zinapatikana , mikoa Kama Tanga , morogoro , pwani Lakini pia unaweza kuzipata kwa watenezaji wa binafsi Pia kila eka moja inapaswa kuchukua Miche isiyopungua 50-55 Mche mmoja...
  9. M

    Zao la mchikichi, dhahabu mpya shambani, mbegu ya kisasa na mazao mengi zaidi

    Mbegu za michikichi hii ya kisasa kwa kiasi kikubwa inazalishws na TARI Maeneo mengi KILIMO hiki kina kubali vizuri , mikoa ya pwani yote , kigoma , morogoro , Dodoma , singida. Kwa Sasa kwa Tanzania soko la mchikichi bado sio kubwa kwa Sababu ya utegemezi mkubwa wa zao ili kutoka nje ya nchi...
  10. M

    Tanzania kuipita Kenya kiuchumi

    Uku Tz hatutaki muchezo kabisa Umenikera na Hako kampost kako The gap btn Tz and Kenya is not to that extent as you think , as days goes we closes the gap as the the big duck in a tin puss of yours ,and sooner than later we'll be up there while we f*ck you asses as always Cheers , waiter...
  11. M

    Tulipoongea walitusema sie wapigaji, leo wanafanya tulioyasema

    Hii serikali ya Ccm miaka mitano ya kwanza imefanya vyema Sana Ila Kama ilivyo kawaida Lila sehemu kuna mapungufu Hii nchi hakika tutafika huko wananchi mnapo pataka Ila sio Leo Wala kesho Tupambane tu
  12. M

    Mambo manne aliyoyafanya Rais Magufuli katika muhula wake wa awali yaliyonifurahisha

    Wanao watakuja kumpenda Watamsoma kwa vitabu tu Eet na ww uliomfolea na vyeti feki .?au ulimpigia kula lissu ?
  13. M

    Nahisi kama nimefikia hatua ya Kukata Tamaa kiwango cha Mwisho. Naomba msaada wenu Ndugu zanguni

    Pole mkuu Maisha yapo pia baada ya magumu , ni issue ya muda tu Umepambana Sana mkuu usichoke
Back
Top Bottom