Recent content by Mr Crispin

  1. M

    JamiiForums Tanzania Greetings from Bole Airport Addis Ababa; "I Will be there in three hours' - Lissu

    Mungu aliyeziumba mbingu na nchi na aliyekunusuru na mauti alinde safari yako Mheshimiwa Lissu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuachwa na ndege ugenini?

    Hahahahaha
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Karibu Mheshimiwa Lissu Tanzania.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hagia Sophia: Jengo linaloleta mtafaruku kati ya Uturuki na jamii ya kimataifa

    Naomba kuelewa zaidi kuhusu yudea na samaria kubadilishwa jina, na kuhusu hiyo vita.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Live updates: Ujio wa Tundu Antipas Lissu nchini Tanzania tarehe 27 Julai 2020. Ameaga rasmi Ubelgiji leo jumamosi

    Kwa Jina la Yesu ninafunga roho ya mauti juu ya Lissu, ninafunga uchawi, ulozi, uganga ambao unatumwa juu ya Lissu kuanzia sasa mpaka pale miguu yake itakapokanyaga ardhi ya Tanzania. Ninakutakasa Lissu kwa Damu ya Yesu, ninavua kila mavazi ya kuzimu ktk ulimwengu wa roho uliyoveshwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Picha za WAJUMBE : Je, unayo moja? Hebu weka hapa tuwaone...

    Nacheka saana apa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha za WAJUMBE : Je, unayo moja? Hebu weka hapa tuwaone...

    Hawa kweli wakata umeme, embu mtazame vizuri wa pili kutoka kushoto.
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini na mapokezi ya Lissu wakati huu wa msiba, mnafanya kosa la kiufundi, mtawapa watu mtaji wa kiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Yaani watu waache shughuli zao kisa msiba? Hivi wewe una akili timamu kweli?
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini na mapokezi ya Lissu wakati huu wa msiba, mnafanya kosa la kiufundi, mtawapa watu mtaji wa kiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Huyo alokufa ameacha alama gani Tanzania mpaka apewe heshima hiyo?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu yazidi kupamba moto, fulana zenye picha yake kugawiwa kwa kila atakayejitokeza kumlaki

    Wangeandika maneno tu ingetosha, kuweka na picha kumeondoa uzuri wa nguo lakini hakuna kilichoharibika. Twendeni na Lissu ktk Urais 2020.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu yazidi kupamba moto, fulana zenye picha yake kugawiwa kwa kila atakayejitokeza kumlaki

    Acha tukampokee Comrade Lissu. Msiba waomboleze wao wenyewe, toka lini CCM ikawa na huruma kiasi cha kwamba na sisi tuwaonee huruma. Walituita marofa, leo nchi masikini kwa ajili yao, na bado risasi wanatupiga, eti tuwaombeleze wao kwa udhalimu wao tuache kumpokea Lissu. Asikudanganye mtu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kukodi Crane ya tani 16

    Bado mkuu, natoa kontena kigamboni napeleka mbagala chamazi, bei yako ipoje?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kusearch picha mtandaoni.

    Asante
Back
Top Bottom