Jifunze kusearch picha mtandaoni.

Jifunze kusearch picha mtandaoni.

Hawa jamaa wameadvance sana na ile project Hummingbird yao!..
Hivi unajua google ni hatari kwa usalama wa dunia, wale jamaa wanajua kila kitu kukuhusu mpaka afya yako!
Ni sahihi putin kusema kua yeye hua hatumii internet, yaani kweli kabisa mkuu Google inatujua vizuri zaidi yawezekana kuliko hata mama zetu.. naona kkupitia hiyo opportunity ya mtu kuwa disclosed developer wakaleta search engine ya https://duckduckgo.com/ ambayo kiasi fulani inaondoa taarifa za mteja alizosachi.
Google kweli wame advance kinoma sijui wanampango gani nasi... \
hiyo ya Huminbird ndio naisikia kwako leo labda unielezee
 
Hummingbird ni algorithms inayotumika na google kukusaidia unaposearch vitu ikuletee kwa uhakika kile ulichotafuta. Chukulia ulisearch samsung basi na yenyewe kwa kutumia history ya search zako ina determine wewe ni mpenzi wa samsung zipi.
Hebu ingia ukajisomee kidogo maelezo kuielezea ni ngumu kidogo
 
inaonyesha nawe mkuu ni mfuasi wa dini 010101010 au nimekosea??
 
Ni sahihi putin kusema kua yeye hua hatumii internet, yaani kweli kabisa mkuu Google inatujua vizuri zaidi yawezekana kuliko hata mama zetu.. naona kkupitia hiyo opportunity ya mtu kuwa disclosed developer wakaleta search engine ya https://duckduckgo.com/ ambayo kiasi fulani inaondoa taarifa za mteja alizosachi.
Google kweli wame advance kinoma sijui wanampango gani nasi... \
hiyo ya Huminbird ndio naisikia kwako leo labda unielezee
Hiyo akili na utaalam inatokana na ahadi ya Mungu kwa Ibrahimu.

na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia; kwa sababu umetii sauti yangu.
Mwanzo 22:18

Nitazidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, nami nitawapa uzao wako nchi hizi zote, na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia.

Mwanzo 26:4
 
ASANTE MKUU MIMI HUISHIA KU-SCREENSHOT NA KU-CROP
Mbona simple tu mkuu?au labda sijamuelewa mdau hapo juu ila mimi huwa nai-hold pic husika inaniletea kama hivi namaliza kazi
Screenshot_2019-04-26-19-51-49-887_com.google.android.googlequicksearchbox.jpeg
 
Back
Top Bottom