Mi naona historia hukusoma au kama ulisoma basi ulizungusha, hakuna kabila linaloitwa wambulu, Mbulu ni wilaya, kabila ni wairaqw, wala hakuna wa gadzabe ni wa hadzabe, sasa warangi, wala hata hawahusiani na wairaqw, wala wanyaturu, wala wataturu, ila wa mang'ati, wa barbaig, wataturu, watatoig...