Nukuu toka tamko la waislaamu

Mimi ni Mkiristo, nadhani wakiristo wenzangu mnaufinyo wa kuolewa mambo, Mkisoma kwa makini mtaona waislam wanahaki ya kuleta madai kama mtanzania mwingine , kumbukeni tunaishi ktk nchi inayoruhusu freedom of expression ni tafauti na tunakotoka wakati wa Nyerere,

Ethical issue; ni kitu muhimu kuandalia kama mtu anataka uondozi, kama Mchungaji au JK anakabiliwa na kesi ya uzizi, hili nikosa kubwa la uzizi, kiongozi anaekabiliwa na shtaka kama hili nivizuri ajiuzulu na kama bado hajachaguliwa inamaana hafi kuwa kiongozi kutokana Moral Issue

Kama waislam wanaona wanaonewa, basi wako na haki ya kuelezamasikitiko yao, kama vile Wakiristo wa madhehebu mengine waliwai kumlalamikia Nyerere kuwa anachaguwa wakatiliki pekee

Ndugu zangu wakirsto, tujaribu kuwa waelewa wa mambo kikina sio kukurupuka na kuongozwa na jazba na matusi, najua tunamatatizo ya kuelewa kiswahili lakini inabidi kujielimisha

ukristo co jna au kuingia kanisan pekee. Unahitaji mda zaidi kuujua ukristo .jiurize kwann maaskofu hawajajibu,! Ukwel nikwamba wamewapuuza na wanaheshem na kuwapenda maaduizao km yesu alifu tuagiza.
 
@reala2m wewe si muislam. Wacha ukafiri wako huo. Umeona wapi muislam kuacha dini akafata matakwa yake binafsi? Sisi tunaongozwa na kitabu cha quran banaa. Tumechoka kila siku kusikia maaskofu wakitupelekesha, sasa tuko tayari kujitetea kwa hali yeyote itakayo bidi. Na ndio kwanza tunaanza.
 
@reala2m wewe si muislam. Wacha ukafiri wako huo. Umeona wapi muislam kuacha dini akafata matakwa yake binafsi? Sisi tunaongozwa na kitabu cha quran banaa. Tumechoka kila siku kusikia maaskofu wakitupelekesha, sasa tuko tayari kujitetea kwa hali yeyote itakayo bidi. Na ndio kwanza tunaanza.

duh inahitajika Amani nchini hatuchelewi kusikia waislamu wenye itikadi kali wameua watu. Hivi mbona sijawahi kusikia kikundi cha wakristu wenye imani kali kimeua watu. jamani hii vurugu ya kidini naomba isitokee kabisa hapa nchini
 
"Mafundisho ya kuhamasisha watu kupigana bila kufikiri"...ilikuwa ndiyo kazi ya Mtume...kabla na baada ya kuletewa aya toka juu...soma maisha ya mtume....
jamani hizi dini tuzitumie kwa akili kila jambo tulitafakari kwanza.
 
Ndungu zangu waislamu , mtafuteni jamaa anaitwa elimu na hayo mengine yatakuja yenyewe. msijemkafikiri wakristo wote wako sawa. Pia kuna tofauti kubwa miongoni mwao. Waliombele ni wale waliomtafuta elimu!! Njia ya mkato hamna!!
 
Hawa mashehe hawana akili timamu. Wanataka kuwafanya waislamu wote, including mke wangu, waonekane kama ni viumbe dhaifu walioonewa miaka yote tangu nchi ipate uhuru. Ukiangalia kuwa mahakama kuu imekuwa inaongozwa na jaji kiongozi ambaye ni mwislamu kwa muda mrefu kuliko wakreisto, unashindwa kuelewa kwa nini hawakupeleka malalamiko yao huko mahakamani siku zote hizo hadi leo ndipo wanakurupuka:

Administratively, the High Court is headed by the Jaji Kiongozi (Principal Judge), a special assistant to the Chief Justice. Like other Judges of the High Court, the President appoints the Jaji Kiongozi. Since its establishment, the High Court has been headed by a total of six Principal Judges namely:

1) The Hon. Mr.Judge Nassor Suleiman Mzavas -31/08/1979 – 17/06/1989
2) The Hon. Mr. Judge Barnabas Albert Samatta -17/06/1989 – 16/06/1997
3) The Hon. Mr. Judge Hamisi Amiri Msumi -17/06/1997 – 14/07/2004
4) The Hon. Mr. Judge Amir. R. Manento -14/09/2004 - 31/01/2008
5) The Hon. Mr. Judge Salum. A. Massati -02/02/2008 – 18/12/2008
6) The Hon. Mr. Judge Fakihi. A. R. Jundu -14/02/2009 To date.
 
ukristo co jna au kuingia kanisan pekee. Unahitaji mda zaidi kuujua ukristo .jiurize kwann maaskofu hawajajibu,! Ukwel nikwamba wamewapuuza na wanaheshem na kuwapenda maaduizao km yesu alifu tuagiza.

Kanisani uko si Maaskofu wanalawitiana ? wao ndio wanaijua bibilia na wanaenda kanisani, hawa ndio unaosema wanaheshima wangetiana wanaume kwa wanaume ??? Au Yesu ndivyo alivyowafundisha ??

Qaum loot mkubwa weee !!
 
We si mwislamu wala hata uislam huujui.Kama huna lakusema kaa kimya.Acha UNAFIKI wakujipendekeza kwa MAKAFIRI. Wanaojipendekeza ni Munafiquun.
huwezi kujua kama ni muislam au si muislam,pengine ni mkristo anasanifu watu tu hapa,au pia labda ni muislam ila ndio hao uliowasema yaani wanaitwa wanafik.
 
Kwako Bull, umesahau Pesambili Mramba na Chenge wote walikuwa, na mpaka leo hii, wanakesi mahakamani tena za makosa ya jinai... lakini CCM na mwenyekiti wao bila kujali na kwa kuwakingia kifua majukwaani bado waliwapigia kampeni na kuwarudisha mjengoni. Kweli nyani haoni ku...!!!
 
Kwako Bull, umesahau Pesambili Mramba na Chenge wote walikuwa, na mpaka leo hii, wanakesi mahakamani tena za makosa ya jinai... lakini CCM na mwenyekiti wao bila kujali na kwa kuwakingia kifua majukwaani bado waliwapigia kampeni na kuwarudisha mjengoni. Kweli nyani haoni ku...!!!


Mramba kapelekwa mahakamani na serikali ya JK na aliondolewa uwaziri badala ya kuonekana yuko na kesi ya jinai

Chenge; serikali ya UK nao wamemtema, kwa hiyo Wote hao ni innocent till proven guilty au kwako mkuu mtu yoyote yuko guilty till proven innocent ?
 
Hivi ni waislamu wa ngapi wanao soma kwenye taasisi za kidini! shule za sekondary, vyuo, vyuo vikuu, je serikali inavyuo vingapi ambavyo vinaweza kuakomodate waislamu wote wenye sifa za kusoma vyuo vikuu, mfano, tumaini universities zote 6 zina waislamu wangapi je wanaonewa! st Agustino na vyuo vyake vyote, inawaislamu wangapi, je wananyimwa haki ya kusoma! ruaha university, h kairuki, na vyuo vingine vyote vya makanisa Arusha university, mount meru, je tuseme waislamu wote sasa wafukuzwa kwenye hizo vyuo, maana hoja ni jazba ya kugawa wakristo na waislamu, je italeta maana, je wakristo wamekunyima, uhuru gani wa wewe kuwa mwislamu! sababu ni hivi, wakati watu wanafikiri maendeleo wewe unafikiri udini, kesho unasema nimeonewa, acha hayo mambo ya udini, fikiria tufanye nini kujenga nchi yetu, si swala la udini na kugawana.
 
Nadhani tamko hilohaliwakilishi waislam wote. Hilo ni genge la wajinga waliojipenyeza kwenye uongozi bila sifa wala akili. Ni kama ngombe aliyepotea haishi kuruka ruka na kupiga kelele. Kitu kizuri ni kuwa watanzania wamekomaa, sio rahisi machizi kama hao wakapokelewa kwa mikono miwili.
Kama wakristo wangekuwa wabinafsi ni waislam wangapi wenye waliosomea shule za kikristo na kufundishwa na wakristo? Je wakati wakristo wanajenge shule na vyuo nani aliwasimamia na kuwanyima waislam kufanya kama wenzao. Natamani kutukana.....
Washindwe na walegee
 
Back
Top Bottom