Recent content by Mr Bluetooth

  1. Mr Bluetooth

    Siku ya nne leo sijapata haja kubwa

    Una lishe mbaya angalia utajisababishia bawasiri
  2. Mr Bluetooth

    Ni neno gani baba yako alitamka ambalo unaliishi mpaka Leo!

    Aliniambia ameshakamilisha jukumu lake la kusababisha nizaliwe mengine hayamuhusu nitajua mwenyewe
  3. Mr Bluetooth

    Je, nitumie dili niliyopewa ukweni hata kama wife ananitambia?

    Itakuwa hata hela ya mboga inatoka ukweni. We golikipa endelea kudaka mipira kutoka kwa wakwe, unataka kumsusia nani wakati wenyewe washaamua kukupa matonge uendelee kutoa ushuzi
  4. Mr Bluetooth

    Wakuu msaada kwenye tuta: PC yangu inanyonya sana MB nini tatizo ?

    Fuata hizi hatua kuzima kabisa windows updates ili MB zako zisiliwe hivyo, Click window then X Run Andika services.msc List itakayokuja gusa yoyote halafu W Tafuta Windows Updates Right click halafu properties Kwenye updtes utakuta manual au enabled , bonyeza hapo halafu chagua Disabled Maliza...
  5. Mr Bluetooth

    Umewahi kukutana ana kwa ana na mnyama gani mkali?

    Hapo Rutamba miezi kama hii huwa wanategwa mamba, vizia utawaona
  6. Mr Bluetooth

    Je, biashara ya gaming lounge bado ni nzuri kwa mwaka 2023-24?

    mwenyewe nafanya movie library na nyuma nimewka ps games, 30k - 50k kwa siku ni kawaida.
  7. Mr Bluetooth

    Kuchonga funguo za sefu

    ili tujihakikishie kidogo kuwa wewe sio jizi ,weka picha ya hilo sefu
  8. Mr Bluetooth

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    kabla ya kuingia kambini nilifuatilia vitu vingi kuhusu maisha ndani ya kambi jeshini, hvyo nilifungua moyo kabla hata ya kugusa lango la kambi ,nilifurahia kila kitu jeshini isipokiwa kitu kimoja tu mkianza rasmi zile wiki 6 mwendo wa kuruti huwa unabadilika mnatembe kwa mwendo wa (kunyanyukua)...
  9. Mr Bluetooth

    Ndio najua leo, Mtwara hawaruhusu sheli kujaza mafuta basi likiwa na watu

    ww mwenyewe tuambie hiyo pettol station ni nn?
  10. Mr Bluetooth

    Chakula kwa siku Tsh 30,000

    hapo kwenye mkaa na nyanya..
  11. Mr Bluetooth

    Chini ya mshahara wa millioni mbili mnaishije mbona sielewi

    tumsubiri yule wa kazi kwelikweli anakuja
  12. Mr Bluetooth

    Namtafuta mwizi wangu RB ya kesi ninayo kisheria sitaiweka wazi

    sifanyi mm kazi ila nimefanyiwa na mtu na imekamilika, alienidhurumu laki3 amenilipa milioni 2
Back
Top Bottom