Hiyo ndio habari ya mjini coz hata vitabu vya dini avikuongopa ya pale viliposema tuaze na wa 2:3:4 na ukiwa zaifu basi chukua hata1 lkn ni kuonyesha uzaifu
Achana na woga ktk maisha mwenye yamin pekee ya kujua mtoto katolea wap ni mama peke yake ndie ajuaye jaribu fikili kima mwana mama amue kuwataja watoto wake kawatolea wap mbona mtakuja tembea na panga nyiee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.