Mzee Mwinyi sema neno moja, Roho za Watanzania zipone

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Mzee mwinyi ni Rais wa pili wa Jamuhuri ya muungano na kiasili ni mtu wa Zanzibar
Eee Baba mwinyi Sema neno moja tu kuhusu Zanzibar na Roho za watz zipone.
Baadhi ya wazee wenzako washatamka,Bado kiu yetu ipo kwako mzee wetu mwinyi
Kumbuka Kwa heshima baada ya nyerere unafuatia wewe.
 
Sio kwa sababu unaweza kuandika chochote basi hata heshima usahau. Mzee Mwinyi alikuwa rais kwa miaka 10, ana miaka 90, huyu ni sawa na babu yako ambaye huwa unafunga safari kwenda kumtembelea kijijini kwenu. Uwe na adabu siasa zisikuondolee heshima.
kweri bwana japo me UKAWA ila vijana wa sasa hv hawana adabu kwa wakubwa zao wazee wana radhi hata kama si mzazi wako we huoni CCM wanavyoisoma namba baada kumdhalilisha sana mzee wetu LOWASA
vijana shikeni adabu yenu
 
Mzee mwinyi ni Rais wa pili wa Jamuhuri ya muungano na kiasili ni mtu wa Zanzibar
Eee Baba mwinyi Sema neno moja tu kuhusu Zanzibar na Roho za watz zipone.
Baadhi ya wazee wenzako washatamka,Bado kiu yetu ipo kwako mzee wetu mwinyi
Kumbuka Kwa heshima baada ya nyerere unafuatia wewe.
Nani kakwambia Mzee Mwinyi ana asili ya Kizanzibari? Historia inaonesha Mzee Mwinyi kazaliwa Mkulanga na alikwenda Zanzibar akiwa ana miaka 5 kwa ajili ya kutafuta elimu. Hiyo asili hapo sijui imetokea wapi wakati hata yeye mwenyewe hajazaliwa Zanzibar wachilia mbali wazee wake.

Kwa umri wake mzee wetu huyu mpendwa alitakiwa ajipumzishe na mambo ya siasa pamoja na public duty in general, lakini Mungu kamjaalia udongo mzuri unaomdanganya kidogo na kujiona bado ana nguvu. Tunamuombea umri mrefu wenye afya njema.

Mzee Mwinyi hawezi kukemea dhidi ya yale yanayoendelea Zanzibar kwa sababu keshaekeza kwa watoto wake warithi mikoba kuanzia 2020. Hiyo ndiyo ndoto yake na kaifanya kazi hii kwa ustadi kabisa, bila ya kufanya papara. Na ndio maana hujawahi kumsikia Mh Hussein Mwinyi akipaparika kugombea nafasi ya uraisi wa Zanzibar ama JMT. Wakati wake ukifika ana 99% ya kufanikiwa, hana haja ya kujitangaza mapema.
 
Na wewe mtoa mada hujielew.mwinyi ana nguvu gan kisiasa kiasi kwamba eti kaul yake itakusaidia wewe upone? Ungenyamaza tu tusingejua kuwa una upeo mdogo. Umewah msikia mwinyi akitoa hoja gan ya kuisadia nchi?nitajie. Kwa marais wastaafu mkapa ndo amebak kuwa mwenye nguvu na kuogopwa. Na ndiye aliyemleta dr magufuli na kumshinda hata aliyekuwepo in power aliyemtaka membe. Ukiacha ubabe mkapa ana akili sana. Mwache mwnyi ajipumzikie hana atakaloweza kusema. Na uwe unanyamaza ili usioneshe upuuzi wako kwa watu
 
Mzee mwinyi ni Rais wa pili wa Jamuhuri ya muungano na kiasili ni mtu wa Zanzibar
Eee Baba mwinyi Sema neno moja tu kuhusu Zanzibar na Roho za watz zipone.
Baadhi ya wazee wenzako washatamka,Bado kiu yetu ipo kwako mzee wetu mwinyi
Kumbuka Kwa heshima baada ya nyerere unafuatia wewe.
Mkuu mbona humtaji kikwete naye aseme neno moja tu?au yeye siyo rais mstaafu?
 
Na wewe mtoa mada hujielew.mwinyi ana nguvu gan kisiasa kiasi kwamba eti kaul yake itakusaidia wewe upone? Ungenyamaza tu tusingejua kuwa una upeo mdogo. Umewah msikia mwinyi akitoa hoja gan ya kuisadia nchi?nitajie. Kwa marais wastaafu mkapa ndo amebak kuwa mwenye nguvu na kuogopwa. Na ndiye aliyemleta dr magufuli na kumshinda hata aliyekuwepo in power aliyemtaka membe. Ukiacha ubabe mkapa ana akili sana. Mwache mwnyi ajipumzikie hana atakaloweza kusema. Na uwe unanyamaza ili usioneshe upuuzi wako kwa watu
Kwa uelewa wako mkapa ndiyo ana nguvu?kutukana watanzania kuwa ni malofa ndio nguvu?amakweli watanzania tumelogwa
 
Mzee mwinyi ni Rais wa pili wa Jamuhuri ya muungano na kiasili ni mtu wa Zanzibar
Eee Baba mwinyi Sema neno moja tu kuhusu Zanzibar na Roho za watz zipone.
Baadhi ya wazee wenzako washatamka,Bado kiu yetu ipo kwako mzee wetu mwinyi
Kumbuka Kwa heshima baada ya nyerere unafuatia wewe.
hawez mwnyi kusema lolote wakati vijana wake wako serikalini
 
Mwanae ni waziri serikali ya muungano. Kuongea kunaweza kuharibu maslahi ya familia.
Una maana kwa mzee wetu huyu kwake ni maslahi ya familia kwanza taifa baadae!?
Kweli mleta mada hii ni kitu muhimu maana nimeshasikia msimamo wa Mzee Msekwa, Dr. Salim na baadhi wengineo.
 
Tanzania viongozi wa zamani walikulia kwenye chama kimoja bado wao hawajaamini katika demokrasia ya vyama vingi .tumeishiwa na viongozi wenye hekma na busara .tunaweza kujikuta pabaya huko tuendako kama haki hazitasimamiwa
 
Na wewe mtoa mada hujielew.mwinyi ana nguvu gan kisiasa kiasi kwamba eti kaul yake itakusaidia wewe upone? Ungenyamaza tu tusingejua kuwa una upeo mdogo. Umewah msikia mwinyi akitoa hoja gan ya kuisadia nchi?nitajie. Kwa marais wastaafu mkapa ndo amebak kuwa mwenye nguvu na kuogopwa. Na ndiye aliyemleta dr magufuli na kumshinda hata aliyekuwepo in power aliyemtaka membe. Ukiacha ubabe mkapa ana akili sana. Mwache mwnyi ajipumzikie hana atakaloweza kusema. Na uwe unanyamaza ili usioneshe upuuzi wako kwa watu
Kauli anayotaka mwenye uzi huu ni RUKSA
 
Kwa hiyo kama shule hamna asiseme? Kwani kumwambia mtu hujasoma unamvunjia adabu au unamwambia kweli??

We Miss Bavicha kuwa na adabu wewe! Unajua maana ya elimu? Mtu awe Waziri,Balozi, Rais pande zote mbili za Muungano Zanzibar na Baadae Tanganyika kwa kupitia vyao vyote hivyo unajua kapata ufahau na elimu ya namna gani? Au umekariri elimu ni kwenda darasani na copy notes na kuingia na vibomu hivyo baadae kujibu maswali has kurubuniwa vyeti? Umri wake wa MIAKA 91 Elimu yake na uzoefu wake unaweza kumlinganisha na Babu na bibi zako! Kuwa na heshima we Mzungusha fito za kwenye mikono na kufagia barabara wakati gheto lako halina fagio
 
Back
Top Bottom