Msaada juu ya mtoto huyu sijapakaziwa?

Msaada juu ya mtoto huyu sijapakaziwa?

Kwa hiyo ukahesabu miezi tisa? Ulipoona haitimii ukajua sio yako?
Unajua mimba huchukua mpaka wiki 42????? Na hujua anaweza kuwahi au kuchelewa kujifungua?

Hapo dawa ni kupima na sio ramli unayotaka kupiga
 
Achana na woga ktk maisha mwenye yamin pekee ya kujua mtoto katolea wap ni mama peke yake ndie ajuaye jaribu fikili kima mwana mama amue kuwataja watoto wake kawatolea wap mbona mtakuja tembea na panga nyiee
 
Madhara ya kuendekeza ngono zembe ndiyo hayo
 
According to hizo hesabu! Huyo mtoto n wako, ila kuna mengi hayajulikan!
Nakushaur kuwa mpole msaidie ikiwezekana hata msaada mdogomdogo ila ukirudi ndo uweke sawa hilo kwa ss n kujaribu kupunguza stress tu
 
mkuu siku tatu kabla yakutimiza miezi 9 inawezekana , mi nliwahi week 1 kabla kufikia miezi 9 lea mwanao usiige maisha yakutelekeza watoto,
hongera kuwa baba
 
Mtoto wako wewe lea tu. . Watu wanatafuta watoto mpaka kwa waganga. .
Ukimkimbia utakutana na bi*ch called karma
 
Ahsanteni kwa ushauri ngoja nlee mtoto tu huyu.
 
tuhesabu kama aliingia bleed tareh 8,9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 28 25 26 28 29 29 30 HAYA trh 17 alimaliza safe days zikiwemo na 5 za bleed. Wewe ukalala nae tena peku trh 22 siku ya 15 ambapo ni hatari tena siku ya mtoto wa kike. Kuanzia trh 18- 28 ndo siku hatari kalee dogo.


NB. kwa wasiojua hii karenda. Ukiingia siku zako thr 1hesabu siku 5 za hedhi. 6-10 ngonoka uwezavyo siku ya 11-17 usingoneke. Kwa usalama zaidi siku ya 20 cheza mara nyingi uwezavyo mpaka siku ya kuingia hedhi tena. Hivi kweli hii ni ngumu? Hamuoni aibu na mimba za ajabu? Lakini ya yote mbona kondomu aina sheeda? Mbana wengine hazituumizi? Utaanza tumwamini mtu unalala kavu? Au ndo yale ya kutegeshea mimba??

Kama nimeingia tarehe 6 ninongoneke tarehe ngapi? Nataka mtoto wa kiume.
 
Kama nimeingia tarehe 6 ninongoneke tarehe ngapi? Nataka mtoto wa kiume.

tarehe 19 afu ufanye asubuhi. Mimba zinazotungwa usiku mara nyingi ni za kike uwa dhaifu ila ya asubuhi na ukiitym trh siku ya 14 posibility kubwa ya kuzaa mtoto wa kiume ipo. Ikishindikana nambie una umri gani ili nikuangalizie njia karenda ya kitaalamu nyingine ya mtoto wa kiume. Ikishindikana hii nina uakika nayo dada yangu ameteseka sana na mtoto wa kiume kila sehemu ameenda ila mtoto kaja kumpaka kirahisi kwa kupewa dawa ya kunywa. Alijifungua trh 1 mwezi huu mpaka sasa hivi ninapoandika uzi huu ng'ombe 2 walishaaga dunia .ni sherehe wa kufa mtu.


NB ujuzi huu wote nimeutoa kwa watu walofanya iyo na wakafanikiwa. Ila na ma dr watakubaliana na mm kuwa siku ya 14 ukifanya tendo asubuhi posibility ya mtoto wa kiume ni kubwa.


Yrs dr luckyline
 
tuhesabu kama aliingia bleed tareh 8,9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 28 25 26 28 29 29 30 HAYA trh 17 alimaliza safe days zikiwemo na 5 za bleed. Wewe ukalala nae tena peku trh 22 siku ya 15 ambapo ni hatari tena siku ya mtoto wa kike. Kuanzia trh 18- 28 ndo siku hatari kalee dogo.


NB. kwa wasiojua hii karenda. Ukiingia siku zako thr 1hesabu siku 5 za hedhi. 6-10 ngonoka uwezavyo siku ya 11-17 usingoneke. Kwa usalama zaidi siku ya 20 cheza mara nyingi uwezavyo mpaka siku ya kuingia hedhi tena. Hivi kweli hii ni ngumu? Hamuoni aibu na mimba za ajabu? Lakini ya yote mbona kondomu aina sheeda? Mbana wengine hazituumizi? Utaanza tumwamini mtu unalala kavu? Au ndo yale ya kutegeshea mimba??

Nimekuelewa sana mkuu
 
Kwahyo tarehe hapo inamaanisha alianza bleed ya mwisho trh7 mwez wa9 ina mana ovulation ilikua around trh21 iv na we ulipiga trh22
Kimahesabu mtt anaweza kua wako mkuu
 
Kwahyo tarehe hapo inamaanisha alianza bleed ya mwisho trh7 mwez wa9 ina mana ovulation ilikua around trh21 iv na we ulipiga trh22
Kimahesabu mtt anaweza kua wako mkuu
ok Mkuu asante kwa ushauri
 
Zaidi ya 40% ya wanaume wanalea watoto wa kubambikiwa. Oh Lord God, hakika wanawake wanatutafutia kesi za mauaji....
 
Back
Top Bottom